Recent content by AMICHA

  1. A

    CHADEMA ibadili slogan ya itikadi yake haraka kuelekea 2015

    Uliyepost hii article anzeni kubadilsha slogan zenu za kinafiki kama "ujamaa na kujitegemea, mapinduzi ya kijani, chama dume nk"ambazo hatuoni impact yake kwa wananchi zaidi ya kuona vigogo mnanenepa na tenda zitokanazo na slogan zenu
  2. A

    Pornograph(picha za ngono)

    Nasikia wameanza kusindika na kusafirisha ulanzi mikoani. Wadau ivi utapata soko?
  3. A

    Ole Sendeka amsifia Tundu Lissu bungeni, amshauri rais Jk ampe uwaziri wa katiba na sheria!

    Wanaosema lisu kichaa nyie ndo mataahira hata milembe hamfai kwenda maana hamuwezi badilika.
  4. A

    Chadema wakishika dola watasaini kukubali ushoga Tanzania

    Kukata mzizi wa fitina leta picha za huyo kiongozi shoga.
  5. A

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Kwetu mbali
  6. A

    Billionaires wa tanzania

    Njoo njombe
  7. A

    ACT (Alliance for Change and Transparency) kuisambaratisha chadema

    CCJ na CCK nao walikuja na lugha hiyohiyo yako wapi?
  8. A

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Ni habari za kweli au mmemkumbuka mzee ruksa.
  9. A

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Napita tu, maana sijaelewa anamkebehi au anamshauri. Lakini napita tu
  10. A

    Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Wewe mwenyewe kicheche, miezi 2 unakubali kwenda kwa kitanda? mpe tu anajua unaenda tigo, nainawezekana umempa unajishaua tu.
  11. A

    Nina laki 2 nataka kununua gari.Ushauri unahitajika!!

    Katafute mkokoteni vakufaa, labda kama unataka waje waseme ulikuwa na gari, nenda kanunue. Ila umechoka kifikra.
  12. A

    Kituko cha mwaka 2013

    Kama wako likizo vijana wanaingia kazini. Yupo juu
  13. A

    Wakati mkijiuliza unga wa masogange ulipitaje airport ya dar..shangaeni haya kwanza

    Sijaelewa kabisaaaaa, masogange, nchimbi na huyo jamaa kivipi yaaani mbona sielewi? Hebu nibabanulie nilewe!
  14. A

    Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Hapo JK hapakuwa mahali pake kuonesha mkanganyiko kisheria kwenye tukio la Zito, angenukuu mkanganyo kwenye katiba mpya alikuwa sahihi. Issue ya Zito inawezekana alijua anapata jembe alipatie wizara hasa kipiti kigumu alichonacho.
  15. A

    Vyama vyakabidhi mapendekezo sheria ya katiba

    Tusubiri tuone kama kweli yamepokelewa na yamo kwenye rasmu au kama yametupwa nje.
Back
Top Bottom