Recent content by americana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Zuio la Bomoabomoa Dhidi ya Serikali

    Kenge
  2. A

    JamiiForums Tanzania Trafiki waanza rasmi kukamata magari yote yenye taa za urembo, Sports Light

    Pia bodaboda nao wanazo za kwao haki ya Mungu zinawaka kuzidi jua
  3. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania wafupi mno mpaka imekuwa kero sasa!

    Achaga ujinga wewe...nenda Japan na China alaf uje uongee kuhusu ufupi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Jamani sikuwa na mpango wa kukujibu ila naona nikupe angalizo, Lowasa si wa hivyo yule anacheza na akili za CCM kuliko unavyofikiri. Mipango yake haikamatiki kwa uelewa mdogo hata kidogo, anatulia na kutafakari karata zake azichezeje. Kama unataka kuamini ninachokisema subiri hiyo jumamosi alafu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mikufu ya dhahabu wanayovaa wasanii Tanzania

    Nimekuwa kwenye wasiwasi na hii mikufu ya dhahabu wanayovaa Macelebrity wetu hapa Bongo, wachanga na wakubwa. Tena kwa size mbali mbali mpaka nyingine zinaelemea shingoni, ndiyo ni fashion ya sasa hivi ila naomba tu kujua. Je, ni dhahabu kweli? Kama si kweli kwanini wanajiweka level wasizoweza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa lugha msaada, PIA kwa kiingereza inaitwaje?

    Inaitwa PIE
  7. A

    JamiiForums Tanzania Meno ya Wema, Jokate na Zari

    Jamani leo naomba mnisaidie kwenye hili jambo, kuna kasumba ya watu kujadili mambo mengi sana mpaka maumbile au viungo vya baadhi ya macelebrity hapa nchini. Mfano, wengi tushasikia mjadala juu ya miguu ya Wema ikishindanishwa na ya Zari. Leo nataka nione uzuri wao wote Wema, Zari na Jokate...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Kuna habari zinasambazwa kupitia whatsapp kuwa Mh. Edward Lowasa kahamia CHADEMA leo, mwenye habari za ukweli anifungue macho tafadhali.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Kwa umri wangu namkubali huyu dogo na nina kabinti kangu nataka nikakuze kwa roho safi nimpe akaoe kabisa maana kwa aliyofanya tena bila elimu nampa 'heko'....kwel kaiinua mererani yao kimasomaso, wako wapi kina Omary Hatibu, kina Shilingi, kina Ray Kishumbua, kina Mathias Mnama, kina Komandoo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Huyu mtoto anaeitwa Pikinini achaneni nae kabisa....nimejaribu kumsaka mpaka nikamfuatana nikajua mipango yake ambayo kwa wote mliowataja sijaona anaemfuata kwa nyuma japo kumkaribia....kama mnabisha mfuateni kupitia instagram kwa akaunti hii Pikinini4rever mlete maoni yenu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Kina Duller aka Dk Dre yupo wapi?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Kaka mbona kama ni maneno tu, watu wanamsifia sana kwa kujichanganya na watu aina mbali mbali hata masikini kama sisi. Tatizo Arusha mtu akiwa na mafanikio watu automatically wanamuogopa na kuanza kulaumu kuwa ana dharau. Muacheni kijana wa watu alafu kumbe tena ni mlemavu wa mguu. Acheni chuki...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Kama ni huyo Picnn mbona namfahamu hata si mla hela? Kwa umri wake na kitu alichofanya kajitahidi maana nilionyeshwa kipindi flani Arusha maeneo ya shoprite ila nikaambiwa anajitahidi na si mtu wa kujirusha kama vijana wenzake wa Migodini, mpaka sasa kwani kuna kijana aliyejitoa kuwekeza kitu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sana
Back
Top Bottom