Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

Mkuu wengi wamechoka asikwambie m2 wameuza nyumba mana walijua mgodi w baba yao ila wenye akili wako njema....hussein n faisal wanapiga nguzo n bomu kma apolo instead y kusukuma shaft wanazidiwa n migodi y wazawa
Tanzanite bado ipo sana migodi inayofanya kazi kiuhakika wanapata tu

Inamaana hakuna hata mmoja aliyejiwekea kitegauchumi kinachoelekea kumuweka mjini kwa miaka ijayo? Mi nawajua wala starehe walikuwepo kwenye hiyo orodha ya waliotoka pale ila kwa kweli siwezi kuamini kama wote wamechezea nafasi zao. Hebu nitajie aliye na muelekeo japo kidogo na anafanya nini sasa hivi
 
Ndugu yangu unanisikitisha sana, hivi inamaana wote au kuna baadhi waliojiwekea hata miradi inayoelekea kuja kuwapa japo kipacho cha familia au ni wote wamechoka. Nipe japo mifano michache
 
Yaani Hussein ni mtu wa ajabu kweli kweli ukiwa Mrangi hata kama hujui kusoma na kuandika wewe boss.Warangi wengi kawachukua huko kwa hata kiswahili shida siku wakirudishia mlango sijui watakwenda wapi.

Kiujumla upande wa madini kumeshajifia, naona dogo wa kihindi nae kanunua maduka, nilishangaa kweli dogo na duka la vifaa vya umemre leo ndio tunaambiwa anachukua yale maduka ya wazungu, hii ndio TZ aisee, maajabu kama haya yanapatikana hapa kwetu tu.
 
Mkuu wa2 wako vizuri n migodi inatema vizuri sema ndio hvyo wanauza mawe kidogokidogo.....jamaica alitoa kilo 6 pc moja bdo production bag ilipanda imejaa so wa2 wako vizuri 2
 
Warangi ovyo sana wanaharibu sana mambo apa mjini kero,kumbuka ata wale waliokamatwa na ulipuaji wa maboom wote walikuwa warangi,ovyoo sana hili kabila wangerudi zao tu kondoa wakaishi kikondoo uko
 
Inamaana hakuna hata mmoja aliyejiwekea kitegauchumi kinachoelekea kumuweka mjini kwa miaka ijayo? Mi nawajua wala starehe walikuwepo kwenye hiyo orodha ya waliotoka pale ila kwa kweli siwezi kuamini kama wote wamechezea nafasi zao. Hebu nitajie aliye na muelekeo japo kidogo na anafanya nini sasa hivi

Marehemu seki alikua vizuri 2 kuna gilyard,mzee d,justine,urasa etc wako vizuri 2 vitega uchumi wamejenga sana n maisha yako poa
 
Kuna kijana mmoja nae nasikia kajitahidi sana, kajenga club yenye restaurant maeneo ya usa river. Hongera zao bana, wajitahidi kupambana maana starehe na maisha havitakiwi kabisa
 
Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sana
 
Unajua.mmoliki wa huo mgosi

Hiyo hamis.sijui hassan mpitaji tu mpwa..ndio maana wanaogopa.nvho kuchukuliwa na.lowassa mengiyataibuka
 
Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sana

Anaitwa Picnin, ndiye mmiliki wa hiyo club. Kuna mmiliki wa baa maarufu ya Cet garden, naye pia alikuwa mfanyakazi wa TanzaniteOne.
 
Pikinini alitakiwa awe mbali sana kala hela sana kwenye starehe.....angetulia n kuwekeza mjini apartments angekua gumzo
 
Huyo alikua gemhouse kala sana happy angekua n biashara n majumba yakutosha....ila sio haba

Kama ni huyo Picnn mbona namfahamu hata si mla hela? Kwa umri wake na kitu alichofanya kajitahidi maana nilionyeshwa kipindi flani Arusha maeneo ya shoprite ila nikaambiwa anajitahidi na si mtu wa kujirusha kama vijana wenzake wa Migodini, mpaka sasa kwani kuna kijana aliyejitoa kuwekeza kitu kama kile?
 
Pikinini alitakiwa awe mbali sana kala hela sana kwenye starehe.....angetulia n kuwekeza mjini apartments angekua gumzo

Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe miaka yote
 
ivi chusa ameekeza kokote kweli??? naona tadei ndo kafungua kipub
 
Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe miaka yote

Jomba pikinini humjui vizuri anakula hapi c kidogo huyo kila cku alikua anatoka n mzigo alitakiwa kuwa mbali zaidi y hapo......hivi m2 kula 3m au 5m c kitu cha kawaida
 
Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe
miaka yote
Ila Pikini iltakiwa awe mbali zaidi ya hapo coz baada ya kupigwa risasi alikuwa anaachiwa kwa makusudi bila kusachiwa ili aweze kupita na mawe yaweze kumsaidia mbeleni so kama tweenty4seven alivyosema jamaa kajitahidi ila si level yake ilitakiwa awe mbali sana zaidi ya hapo..Japo anakakijiji pale majiyachai pamoja na supermarket na Usa ile club ila kwa nafasi aliyokuwa nayo na kilema alichokipata bado
 
Last edited by a moderator:

Mkuu yule alikatwa mguu n skip alikua miner....so alivyotibiwa n hali yke akapelekwa gemhouse alikua anatoka n mzigo wa haja ila starehe sana n dharau....hivi unawezaje kua n hela usiwe n majumba arusha mjini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom