Recent content by ambu

  1. A

    Wapiga Debe, Stendi ya BODA BODA Ndani ya UDSM Main Campus!!

    mimi sifahamu hili neno wapiga debe jee ni nani hawa? naomba mnifafanulie shukuran
  2. A

    Hii sentensi ipo sahihi au huwa tunakosea??

    yote ni sahihi wali kwa kuku au wali na kuku unamanisha kusema wali na kitoweleo chake ni kuku
  3. A

    Chakula chako mwenyewe, ruhusa ya nini?

    unapo muomba ruhusa mpishi basi atahisa raha moyoni atakuandalia kwa ridhaa na hamu ya kukuandalia kila wakati
  4. A

    Kitunguu swaumu kinazuia influenza!

    ahsante kwa kutukumbusha kula thaumu
  5. A

    Hii imekaaje?

    sio lazima awe hivyo mbona unamuonea?
  6. A

    Nyimbo ya samaki ya wazanzibar mmh!

    hahahaaaaaa waswahili kila neno latafsiriwa mpendavyo samaki ni samaki na ndo wale ina maana gani?
  7. A

    Taarab ASLI inavyorudi kwa kishindo

    zote hizi ninaweza kuzipata vipi ?
  8. A

    Kufungwa kwa Jukwaa la DINI

    dini ni moyo na imani ya mtu ahsanteni
  9. A

    Mbunge Aua Mkewe kwa Jirani

    tuseme nini najiuliza godi kwa nini kafanya haya hata iwe sababu gani wivu khiyana dharau angemwacha na mungu wake ndie muamuzi wa haki kuliko kuitoa roho ya mtu jee hakujiuliza nini malipo yakr kesho na hapa duniani ?
Back
Top Bottom