Recent content by ambokileambakisye

  1. ambokileambakisye

    Ajira hii ni zaidi ya faida yako?

    Hii Ajira sasa imekuwa tegemezi sana kwa vijana na wengine wenye imani tofauti wakiamini ipo siku watakusanya kiasi cha pesa nyingi kupitia hii Ajira . Hivi karibuni kwa asilimia kubwa zaidi za vijana mwanga wao ndo hii Ajira ambayo imekuwa ikileta waumimini wapya kila kukicha na kuwafanya kuwa...
  2. ambokileambakisye

    Umeme upo kwenye nchi hizi hapo chini

    Tatizo nini mpaka sisi TZ [emoji1241] atujaingia kwenye orodha ndefu hii.. [emoji848] Njoo na jibu..[emoji116][emoji116][emoji125]
  3. ambokileambakisye

    Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Vodacom ni mtandao mzuri sema wanavitu Vingi . Mno wapunguze biashara pandikizi ndogo ndogo Mfano hizo Nyimbo mara simulizi michezo kibao unaitajika ulipie lakin uhalisia kwa upande wa network na Internet wanakasi ya ajabu apo tuwasifu.
  4. ambokileambakisye

    Ni bora tukajenga nchini

    Kwa , Kwa Morogoro , Dodoma na Mbeya
  5. ambokileambakisye

    Ni bora tukajenga nchini

    Salamu, wapendwa, Miaka imekuwa mingi sana sasa nimekuwa nikishi kwenye nyumba ya banda umiza sasa wakati wa kujenga nyumba angalau ya kueleweka umewadia. Najua humu kuna mafundi professional na watalamu wa makadirio mazuri na ya wastani mnaweza kukadilia nyumba kama hii kwa hapa Tanzania ina...
  6. ambokileambakisye

    Napendekeza Bandari ya Dar es salaam ingehamia Dodoma

    Unakuwa kama umekula bangi ila kwa maelezo marefu haya ni kama mtu alitulia chini..
  7. ambokileambakisye

    Je, ni yupi kafanya ajira nyingi sana mpaka sasa duniani katika hawa genius?

    Very nice mister .. Good point [emoji1666][emoji106]
  8. ambokileambakisye

    Kipi kimetokea umejikuta hauna rafiki hata mmoja?

    Ila daah hii mada leo ? Mimi binafsi na amini kila mtu ana wakati kama huu katika maisha yake kama bado basi unakuja . Alfu naona comment za watu hapa kila mtu ana aumu kuwa eti? Watu ni wabaya sana watu ni sisi hila hapa tuna laumu tusicho kijuwa mbaya wako wewe naye wewe ndiye mbaya wake."...
  9. ambokileambakisye

    Je, ni yupi kafanya ajira nyingi sana mpaka sasa duniani katika hawa genius?

    Sorry hapa mkuu kwanza ? Kwa mara kwanza saa zilinza kutumika mwaka gani za kutambua majira na dakika . Huu mwaka wa 1452 siyo jana...
  10. ambokileambakisye

    Hii picha hii inamaanisha nini kwa sisi wasakatonge?

    Mmm kumbe kuna rangi...daah sikuona bwna
  11. ambokileambakisye

    Hii picha hii inamaanisha nini kwa sisi wasakatonge?

    Kama umeelewa mlala hoi mwenzangu njoo na jibu. Hapo[emoji116]
  12. ambokileambakisye

    Je, ni yupi kafanya ajira nyingi sana mpaka sasa duniani katika hawa genius?

    Yupi genius kati ya hawa anaye kumbukwa mpaka kesho kwa ubunifu wake kuwa uti wa mgongo katika maendeleo ya dunia. .
  13. ambokileambakisye

    IMF: Tanzania Yatajwa top 10 ya Nchi zenye Barabara mbaya Duniani

    Kama upo Dar hapo Centre basi uwage unatembelea na mikoani uone wanatanzania wenzio wanaishije . Hata hivyo hii barabara siyo za kujivunia hata..?
  14. ambokileambakisye

    IMF: Tanzania Yatajwa top 10 ya Nchi zenye Barabara mbaya Duniani

    Hizi taarifa ziwe za kweli au za uongo tuzungumzie hapa Tanzania kwani kiukweli barabara zipo maana tusiwe tunajisifia uongo tu . Barabara zimejaa viraka nyingi nezo nivumbi na matope katika misimu yote ukizingatia Tanzania ni inchi tajiri ina kila aina za raslimali alitakiwa hii Tanzania...
  15. ambokileambakisye

    Wabongo acheni kukariri maisha

    Genius Punguza maarifa basi kidog uelewe. Mambo ya imani hayapo ivyo kama unavyo fikili ki kawaida ina kupaswa uamini kwanza ndo uongee hiicho unacho kiongea bila hivyo usijadili maswala ya imani kama wew uamini uwezi kuwa na hoja za kuwambia wanao amini hasa katika kweli.
Back
Top Bottom