IMF: Tanzania Yatajwa top 10 ya Nchi zenye Barabara mbaya Duniani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,744
Nchi zote za Afrika Mashariki isipokuwa Uganda na DRC ziko kwenye orodha ya Nchi Zenye Barabara mbovu na mbaya sio Afrika Duniani.
===
thecitizentz's profile picture

SWIPE 👉🏽

According to the International Monetary Fund (IMF) working papers on road quality and mean speed score, Africa remains the continent with the worst road infrastructure globally. Even though there has been some progress in recent decades, some countries fall below average.

The IMF developed a metric of cross-country road quality based on the mean speed between large cities from Google Maps.

Below are 10 African countries with the WORST road infrastructure

1. 🇷🇼 Rwanda

2. 🇬🇳 Guinea

3. 🇧🇮 Burundi

4. 🇲🇬 Madagascar

5. 🇬🇲 Gambia

6. 🇳🇬 Nigeria

7. 🇬🇭 Ghana

8. 🇨🇲 Cameroon

9. 🇹🇿 Tanzania

10. 🇰🇪 Kenya

The MS score correlates with the existing World Bank’s Rural Access Index and the WEF’s Quality of Road Infrastructure score

My Take
Kwamba Sudan Kusin,Malawi,Somalia,Chad,DRC,Mozambique na maskini wengine Zina Barabara nzuri kushinda Tanzania?

Hizi tafiti ni uongo na upuuzi mtupu.
 
Hizi ni taarifa mchongo ni yaarifa za kupigia miamala kama huamini wait miezi 3 utasikia tanzania yapatiwa usd billion 1 kuboresha barabara.

Kaa tena utasikia kenya yapewa mkopo wa riba nafuu kuboresha miundombinu ya barabara..

Hii ndio style ya serikali zetu kupata pesa kirahisi huko nje hizo nchi unazosema sijui za sudan na Mozambique na ze like hazijashtuka bado acha zilale...
 
Ni kweli kabisa, kuna barabara mjini tu hapa Dsm hazijawekwa lami na hata kuchongwa tu shida, mfano barabara za Wilaya ya Ubungo nyng hazina lami.

Wananchi wa ubungo Jimbo la Kibamba hatuna Mbunge wala viongozi wakusimamia ukarabati wa barabara za huku, mfano barabara ya kutoka Mbezi Magufuli kwenda Mpigi Magohe haija chongwa wamesubiri mpaka kipindi hiki cha mvua ndio wanachonga vipandevipande na mvua ndio inazidi kuharibu,usafiri ni wa shida wananchi wanateseka nauli mpaka 3,000 wakati kawaida ni 1,000 kwa bajaji, hii barabara ilipangwa iwekwe lami mara baada ya stend ya Mabasi ya mkoa ya Magufuli kukamilika ili magari yamkoa yapitie huku ila mpk leo hamna lami wala kuchonga tu imekuwa taabu

Mbezi kwenda Msumi, Makabe lami wameweka kakipande kadogo sana cha danganya toto, barabara ni mbovu, sasa sijui ni miradi ya watu.

Mama Samia na Waziri wa ujenzi naomba sikia kilio chetu wananchi wa Jimbo la Kibamba tunateseka.
Mkitaka kuamini jioni njoo stend ya Mbezi luis.
 
Walete pesa tujenge Barabara
 
Swala sio mbunge au nani, Barabara ni Changamoto Tanzania nzima ,mbunge hata hela nae anawasilisha matatizo Serikalini ila utekelezwaji ndio mpaka Serikali ikipata pesa.
 
Nchi zote za Afrika Mashariki isipokuwa Uganda na DRC ziko kwenye orodha ya Nchi Zenye Barabara mbovu na mbaya sio Afrika Duniani.
===
thecitizentz's profile picture's profile picture

SWIPE

According to the International Monetary Fund (IMF) working papers on road quality and mean speed score, Africa remains the continent with the worst road infrastructure globally. Even though there has been some progress in recent decades, some countries fall below average.

The IMF developed a metric of cross-country road quality based on the mean speed between large cities from Google Maps.

Below are 10 African countries with the WORST road infrastructure

1. Rwanda

2. Guinea

3. Burundi

4. Madagascar

5. Gambia

6. Nigeria

7. Ghana

8. Cameroon

9. Tanzania

10. Kenya

The MS score correlates with the existing World Bank’s Rural Access Index and the WEF’s Quality of Road Infrastructure score

My Take
Kwamba Sudan Kusini,DRC na Mozambique Zina Barabara nzuri kushinda Tanzania?

Hizi tafiti ni uongo na upuuzi mtupu.
Hizi taarifa ziwe za kweli au za uongo tuzungumzie hapa Tanzania kwani kiukweli barabara zipo maana tusiwe tunajisifia uongo tu . Barabara zimejaa viraka nyingi nezo nivumbi na matope katika misimu yote ukizingatia Tanzania ni inchi tajiri ina kila aina za raslimali alitakiwa hii Tanzania kuaishi kama ulaya barabara , umeme, na maji tz bado bado kwanza
 
Back
Top Bottom