Je, ni yupi kafanya ajira nyingi sana mpaka sasa duniani katika hawa genius?

May 18, 2023
27
38
Yupi genius kati ya hawa anaye kumbukwa mpaka kesho kwa ubunifu wake kuwa uti wa mgongo katika maendeleo ya dunia.
.
20231122_221954.jpg
 
Kama leonardo da'vinci hayupo basi list ni batili, hao ni wadesaji tu, genius pekee aliyewai kuishi hapa duniani ni da'vinci tu
Nilitaka kusema hivyo hivyo. Nimeshangaa nimeangalia list sijamwona wakati da’vinci ndio alikuwa hatari kabisa yani hatari kuliko wote picha lake kubwa lilitakiwa liwe pale juu kabisa, he was an Anatomist, Architect, Astronomer, Botonist, Cartographer, Engineer, Geologist, Hydrodynamicist, Mathematician, Musician, Theatre producer, Scientist, Inventor, kwahiyo huwa nashangaa sana wanapowasema kina newton , namkubali sana huyu mwamba, alizaliwa 1452 , 15th April 10:30pm na mama mmoja anaitwa Catarina, huko Florence Italy kwenye kijiji kinaitwa Da’vinci…Kwenye huu uzi Leonardo anatakiwa awe pale juu alafu picha ni KUBWA SANA MASTA
 
Nilivyoelewa mimi mada haizungumzii nani genius kuzidi mwengine mada mezani ni.....

Back
Top Bottom