Recent content by Ambassador

  1. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    Watch Live Streaming Football Yalla Shoot Free HD
  2. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno ushoroba

    Corridor
  3. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

    Pole sana kiongozi. Simu yako ndogo mpaka meli haitoshi? Usijali, mwaka huu utapata simu kubwa inshallah.
  4. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Nikupe tecno w4 na shilling ngap unipe tecno boom J 8

    Unataka mpya au used?
  5. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Hizo haziwezi kufika kwenye extent ya kuleta madhara I guess...
  6. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Tetemeko limepita tena Bukoba mida hii! Sio kubwa kama la jana. Watu wako nje.
  7. Ambassador

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    FirstLady1 uko nchi hii!? Very long time aisee!
  8. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Asali nzuri ni ya wapi? Inapatikanaje?

    Asali ya Tabora inasemekana kuwa inarinwa karibu na mashamba ya tumbaku na kuna uwezekano zina chembechembe za viuatilifu pamoja na sumu nyingine za tumbaku. Asali ya Kigoma ni nzuri, ni PM kama utahitaji kuipata.
  9. Ambassador

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Ikiwa full capacity inatoa bati ngapi kwa siku?
  10. Ambassador

    JamiiForums Tanzania GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Here goes Samatta!! African player of the year based in Africa! Hongera sana dogo kwa kutuwakilisha vema, now I can sleep.
  11. Ambassador

    JamiiForums Tanzania GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    African legends - Charles Kumi (Ghana) and Samuel Mbappe (Cameroon)
  12. Ambassador

    JamiiForums Tanzania GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Referee of the year - Papa Bakary Gassam (Gambia)
  13. Ambassador

    JamiiForums Tanzania GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Women's player of the year - Gaelle Enganamouit (Cameroon)
Back
Top Bottom