Habari wadau. Mimi ni mtumiaji mzuri wa asali kwa ajili ya familia pia. Je asali nzuri kwa sasa ni ya mkoa ganii? Nilipata kusikia kuwa asali inayotoka Tabora kwa sasa imegundulika kuwa na madhara. Je kuna ukweli wowote?kama ni kweli je asali nzuri na bora inatoka wapi na nitaipataje. Mwenye ufahamu wa hili naomba taarifa tafadhali!