Robbykan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 509
- 469
Nina tecno w4 Imetumika miezi miwili tuu rangi yake ni nyeupe.. Mimi nina shida na tecno boom J 8.
Specifications Za tecno w4
Ram 1GB
Camera 8 MP
Internal memory 16 GB
Android version 6 marshmallow
Aliye tyr Kwa mabadilishano adondoshe comment hapa. Au Kwa anayeuza tecno boom J 8 pia tupange biashara.
Specifications Za tecno w4
Ram 1GB
Camera 8 MP
Internal memory 16 GB
Android version 6 marshmallow
Aliye tyr Kwa mabadilishano adondoshe comment hapa. Au Kwa anayeuza tecno boom J 8 pia tupange biashara.