Recent content by Amba Samedi

  1. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

    Habari wanajamvi, Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...
  2. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mkulima ukifanikiwa kupiga hela jitahidi uwe na mradi hata mdogo wa kukupa pesa ndogondogo kila siku

    Ukilima na kuvunq 1. Epuka wanawake. Kuna wadada ngozi laini washakariri Wakulima na minimum ya kuvuna. 2. Ufugaji unalipa pia. Ukinunua mbuzi wako 10 au 20 ukawarutubusha. Ukichukua croiler kadhaa, au wa kienyeji... itakulipa 3. Kuna kulima na kuhifadhi. Kuna siri katika mzunguko wa nafaka...
  3. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Internet

    Kuna mwamba ameiweka vizuri sana. Ukiwa na setup kama hii, wewe ushawin: https://www.jamiiforums.com/threads/site-ya-biashara-ya-hotspot-wi-fi-inauzwa-inahudumia-watu-60-70-kwa-siku-inaingiza-si-chini-ya-900-000-faida-kwa-mwezi-inapatikana-dar-es-salaam.2447891/
  4. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Nilitoa jibu hapa https://www.jamiiforums.com/threads/biashara-ya-wifi-internet-router-mtaani.2367468/post-56522052 Unaweza kucheki na kubarikiwa.
  5. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    Naomba kuongezea machache kwenye mada hii muhimu: 1. Changamoto za msingi katika biashara hii: Kabla ya vitu vingine, fahamu changamoto kuu unazoweza kukutana nazo: ushindani mkali (maeneo mengi mtaani tayari kuna wifi wenye router 2-3), wateja wasiolipa kwa wakati, vifaa kuharibika mara kwa...
  6. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ndo uhuni unaofanywa na mitandao ya simu inayouza router za unlimited

    Kila alichokitengeneza mwanadamu kina speed gorvernor. Gari ina speed 180km kulinda usalama wako, chakula kina kipimo kwenye sahani. So, internet pia ni hivyo hivyo. Kwa hiyo elimu hii ikifikia watu wengi, watajua kuwa wanatembea ndani ya barabara yenye alama, ishara na vijidhibiti mwendo.
  7. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Research Supervisor Hatimaye Atasema 'Sasa Tunazungumza'... Nakuhakikishia...

    Neema alikuwa amechoka. Miezi mitatu ya research, na bado literature review ilikuwa "rough draft." Supervisor alimwambia mara nyingine tena: "Rudi uiandike title upya." Alianza kujiuliza: "Mimi ni mjinga? Au kuna kitu sijui?" Hakuwa mjinga. Alikuwa anafanya kazi ngumu kwa njia ya zamani. Siku...
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    Nakupongeza kwa kuandika vizuri. Kwa hakika ambaye hajawahi kutumia AI ataona pa kuanzia. Ila... nimepata ugumu kulinganisha AI na calculator. AI inaweza kuwa na namna ya kufanya mahesabu, lakini haiwezi kamwe kulinganishwa na calculator na tukaishia hapo. Calculator huendana na exactly...
  9. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania 🎓 Wanafunzi wa Postgraduate — Research yako inakusumbua? Msaada huu hapa...

    Habari wadau, Natumaini mnaendelea vizuri. Niko Morogoro, "mkoa wa vyakula vyuo na seminar", na tunaendelea vizuri. Kwa waislamu ni siku ya ibada, kwa wasabato ya maandalizi na wengine wanapanga kesha (Furahiday). Kazi iendelee... Kipindi hiki ni cha research na presentations. Natumaini...
  10. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Ukwasi Muhimu: Vitu Kadhaa vya Kuzingatia (Cash is King)

    Habari wanaJF, Natumaini mmeamka salama. Dunia ishageuka kuwa uwanja wa vita: leo TZ, kesho Iran nk. Na mafuta yanaweza kupanda kwa sababu... tutaliongelea siku nyingine. Leo tujadili ukweli fulani wenye kauchungu: Kumiliki mali nyingi sio sawa na kuwa na ukwasi (cash flow). Unaweza kuwa na...
  11. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania KULINDA MALI ZA FAMILIA ZIISHI MIAKA 200

    Sio nyumba tu. Mali zote: mashamba, magari nk
  12. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Asante kwa maoni. Soma tena. Hili halizungumzii AI kuzidi ubongo. Tunajadili namna ya kuepuka uozo wa ubongo.
  13. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  14. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania KULINDA MALI ZA FAMILIA ZIISHI MIAKA 200

    Pole kuchelewa kujibu. Mbona inajielezea tu... hii document inapaswa kuundwa na wamiliki wa Mali, hasa wale wanaojenga nyumba kurithisha watoto. Mali hazingepotea.
  15. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mifumo simamizi ya shule

    Tuwasiliane. 0742308110
Back
Top Bottom