Biashara ya wifi internet router mtaani

Biashara ya wifi internet router mtaani

Kama ni cable internet akiweka kwenye routers kama za MikroTik unaweza ku control na kufanya unachotaka hata ukitaka kuuza kwa mfumo wa bando au vocha unaweza hamna mambo ya kuscaniana kwa QR Code hapa mianya yote inabanwa... Kuna aina ya Router za MikroTik zina hizi features ukipata mtu mtaalamu ana kuconfigia..
Nielekeze vizuri
 
Nielekeze vizuri
Kama unatumia internet ya Fiber na unataka kufanyia biashara tafuta Router hizi za MikroTik ndo zinafaa zina configurations ngumu sana kama sio mtaalamu wa mambo ya network hutaweza kuziset zina mambo 1000 na kidogo, otherwise tafuta mtaalamu wa networking huko aliko akusetie hotspots zake za kutumia login webpage na mambo ya kuset Radius Sever na namna ya ku generate vocha za bundle za WiFi...

Hizi ndogo used zinapatikana around 100k-180k kwa watu wanaohusika na mambo ya network

Mpya kuanzia 200k-350k

Kuna makubwa yake yana gharama kuanzia 350k+

Kumbuka kufata taratibu za mamlaka za TCRA na sheria zingine kama wadau walivyoshauri if necessary...

View attachment 3468139

View attachment 3468140

download.jpg
 
Kama unatumia internet ya Fiber na unataka kufanyia biashara tafuta Router hizi za MikroTik ndo zinafaa zina configurations ngumu sana kama sio mtaalamu wa mambo ya network hutaweza kuziset zina mambo 1000 na kidogo, otherwise tafuta mtaalamu wa networking huko aliko akusetie hotspots zake za kutumia login webpage na mambo ya kuset Radius Sever na namna ya ku generate vocha za bundle za WiFi...

Hizi ndogo used zinapatikana around 100k-180k kwa watu wanaohusika na mambo ya network

Mpya kuanzia 200k-350k

Kuna makubwa yake yana gharama kuanzia 350k+

Kumbuka kufata taratibu za mamlaka za TCRA na sheria zingine kama wadau walivyoshauri if necessary...

View attachment 3468139

View attachment 3468140

View attachment 3468141
Kaka samahani naomba namba yako ya whatsapp unielekeze vzr
 
Kwa wauzaji wa Internet WI-FI panua biashara yako upate faida kubwa bila kutumia nguvu nyingi kwa kutumia mfumo wa vocha unawomuwezesha kuwauzia wateja wako wifi kwa kumpa vocha na mfumo wenyewe unawawekea security, hakuna kuscan kwa mtu yeyote anapojiunga kwa vocha

Mfumo wa vocha unakazi hizi kuu:

🟢 1. Kudhibiti nani anapata intaneti
Mtumiaji hawezi kuingia moja kwa moja.
Anatakiwa:
Kupata vocha (code)
Kuingiza kwenye login page
Ndipo router inamruhusu kutumia intaneti
Hii husaidia kuepuka watu kujiunga bila kulipa.

🟢 2. Kupima muda au kiasi cha intaneti
Router inahesabu kulingana na kifurushi, mfano:
Saa 1
Masaa 24
Week
Bundle GB
Baada ya muda/GB kuisha ➜ vocha inafunga automatically.

🟢 3. Kuhifadhi taarifa za watumiaji
Router huhifadhi:
Ni nani alitumia vocha gani
Muda aliotumia
Kiasi cha data kilichotumika
Hii ni muhimu kwa:
Uhasibu wa mauzo
Kufuatilia matumizi
Kuzuia wizi wa vocha

🟢 4. Kupunguza mzigo wa mtandao
Router ya vocha inaweza kuweka:
Speed limit (mf. 2Mbps per user)
Max devices per voucher
Fair usage
Hii inafanya mtandao usizidi kuchoka.

🟢 5. Kurahisisha biashara ya Wi-Fi
Ni muhimu kwa:
Wi-Fi hotspot
Cyber café
Mashule
Hostel
Mabanda ya mitaa

Inawezesha mmiliki:
Kuuza vocha
Kupanga vifurushi
Kupata faida bila kusimamia sana

🔹 Kwa kifupi
Router ya vocha:
👉 Inadhibiti upatikanaji wa intaneti
👉 Inauza na kusimamia vifurushi
👉 Inapima muda / data
👉 Inazuia watu kutumia bure
👉 Inasaidia biashara ya Wi-Fi kuwa rasmi

Karibu kwa ushauri 0710599055
 
TCRA wanataka upate leseni, application fee ya leseni ni 150k, leseni ni kama 450k hivi kwa mwaka na kuendelea kulingana na ukubwa wa eneo unalotaka kutoa huduma. Hata kama ukipata wateja 2 wakikukamata unauza bila vibali unajumuishwa na wahujumu uchumi.

All the best.
Leseni ni kwanzia 1km....chini ya hapo upo free kufanya bila leseni. Unakua kama mtumiaji tu
 
Naomba kuongezea machache kwenye mada hii muhimu:

1. Changamoto za msingi katika biashara hii:
Kabla ya vitu vingine, fahamu changamoto kuu unazoweza kukutana nazo: ushindani mkali (maeneo mengi mtaani tayari kuna wifi wenye router 2-3), wateja wasiolipa kwa wakati, vifaa kuharibika mara kwa mara (router na antenna), wizi wa vifaa hasa vikiwa nje, pamoja na mtandao kukatika-katika wakati wa mvua au msongamano wa watumiaji.

2. Jaribisha eneo na mtandao unaokamata vizuri
Kabla ya kuanza, pima nguvu ya mtandao eneo lako. Fiber ya TTCL au Halotel ni nafuu kwa gharama ila hupatikana mijini mara nyingi. Vodacom wana mtandao mzuri zaidi wa kutegemewa, ingawa gharama huwa juu kidogo. Airtel wana umaarufu kwa bei nafuu na vifaa imara. Chagua provider kulingana na uhakika wa mtandao, si bei tu.

3. Tafuta billing system inayotegemeka
Kubadilisha password kila siku kunachosha na kunapoteza muda. Billing system inakusaidia kutoza ada kwa masaa, siku, au kifurushi bila kuwa mtu wa kubadilisha password kila mara. Mifumo mingi pia inakuwezesha kupokea malipo kwa cash (voucher) au kwa njia ya simu (mobile money) moja kwa moja. Rodlink ina mfumo huu—unaunganisha Router yako tu na hela inaingia moja kwa moja kwenye dashboard yako (baadaye unaweza kuhamisha benki au kwenye simu).

4. Jisajili rasmi kisheria
Kwa mujibu wa TCRA, kuuza huduma ya internet kwa umma kunahitaji leseni maalum, si business license ya kawaida tu. Gharama za usajili zinaweza kuwa kati ya TZS 250,000 hadi 450,000 kwa mwaka kulingana na aina ya leseni. Ukifanya bila kusajili, unaweza kukumbana na adhabu au kufungiwa biashara.

5. Kuna na mfumo wa kutafuta wateja wako
Hii ndo siri yako. Tengeneza ofa nzuri—punguzo kwa wanaolipia kwa mwezi, au bonasi ya masaa ya bure kwa wateja wa kudumu. Wasiliana vizuri na wateja wako. Waombe wanunue tena. Ushindani upo, hivyo huduma nzuri ndiyo itakayokufanya uwe tofauti.

6. Weka backup ya umeme (UPS)
Umeme ukikatika, biashara yako inaweza kusimama. UPS ndogo inaweza kuendesha router kwa masaa kadhaa. Kama wewe ni mteja wa Airtel, wana huduma za powerbank.

Rodlink tunakupa ushauri kamili—vifaa, mfumo wa billing, na msaada wa kiufundi ili uhudumie wateja wako bila stress. Piga au tuma ujumbe kwa maelezo zaidi: 0742308110 (Simu/SMS/WhatsApp).
 
Back
Top Bottom