Recent content by amayabhu

  1. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Binti akipangishiwa nyumba na kuachwa anaishije?

    Kwahiyo ulivyoambiwa baba,mama na brothers wanasupport hukuamini mkuu,,kumbe jibu utakuwa nalo kuwa ni nani wanalipa pango
  2. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Na yeye atakuwa anakutafuta huko aliko
  3. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu kwa hili mnanichefua sana roho yangu

    Wanaangalia kuthaminisha vyuma vya nani vitakuwa vimekaza zaidi kupitia mwonekano wako[emoji3]
  4. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 10/04/2018. Msanii Diamond azua gumzo Bungeni

    Nawaza tu kama akili za wabunge wetu ni vile,,, watoto wao jee sijui wakoje
  5. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

    Basi bwanaa
  6. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

    Basi Mugabe angeshawafukuza wazimbabwe ,,,hakuna marefu yasiyo na ncha
  7. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

    Na yeye anaweza fukuzwa vilevile
  8. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Ona nilichomjibu tapeli, nasubiri mrejesho wake

    Usitegemee mrejesho,,, atakuwa ashajisoma kupitia huu uzi
  9. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

    Sawa anaweza ota kwa kuigiza halafu ile ndoto ya kweli kweli akaota alivyoigiza uongo,,,, hiyo vita yake utaenda kuamulia wew
  10. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeee
  11. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Modern Day Girls

    Dereva kaamua kukomoa kwa speed yake hiyo
  12. amayabhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kaka yangu alimtongoza mpenzi wangu akamtukana sasa kaniacha

    Upande wa pili.. Huyo msichana angemkubali kaka yako sijui ndio ungefanyaje mkuu
  13. amayabhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakakuona anaitwaje kwa Kiingereza?

    Jike atakuwa ni 'sistersee'
  14. amayabhu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unavaaje dhahabu na mavazi ya hariri?

    Waandalie na picha kabisaaa
  15. amayabhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuhangaika hatutaki tena kuoa

    Sasa kama hawakukufanya kitu kwanini utuone wanawake ni vichaa
Back
Top Bottom