Recent content by Amaya bajarat

  1. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

    Ukisema Cha Nini Wenzako husema Watakipata Lini..muimbaji kanitoka
  2. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

    Hautonibabaisha kwa kuwa nawe ni MTU....Taarabu
  3. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania Umetongozwa leo na leo leo umevua nguo loh!

    GALATIA: Inaonyesha ulikuwa unatamani utongozwe wewe.Kufuatilia kote huko hadi ukaangalia akiliwa kwenye gari.Mmmmh I doubt
  4. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania Wasichana oneni huruma, siku ya kwanza tu unaomba na hela (kizinga) live

    Nawe mbahili mno.Kwani soda shilingi ngapi?Akikutembelwa kwako humnunulii soda?Baba bure huyu!!?
  5. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania MFANYAKAZI NI NANI?

    Asanta Mkuu nimekuelewa na ninashukuru kwa msaada wako.Endelea kuwaelimisha Watanzania wenzangu wanaohitaji misaada ya kisheria.Asante
  6. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania MFANYAKAZI NI NANI?

    Mkuu ,Na he mfanyakazi anapopigwa na mwajiri wake na kuvuliwa nguo mbele za watu,hii inakaaje?Na je,iwapo alifungua kesi polisi lakini kwa hofu akaamua kuifuta hiyo kesi.Sass anaporudi kazini anatengenezewa mazingira ya mitego na kutiwa hafu.Hapo sheria inamsaidiaje MTU kama hiyo ambaye kwanza...
  7. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania Kwa msaada zaid Soma hapa

    0764503888
  8. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania DAR: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa sugu wa utapeli

    Hawa huwa wanatulisha haramu huku Moshi kipindi hiki cha Kuhesabiwa.Tupa lupango kule!!
  9. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania DAR: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa sugu wa utapeli

    Gaya ndiyo yanatulisha haramu huku Moshi kipindi hiki cha kuhesabiwa.Tupa lupango kulee!!
  10. Amaya bajarat

    JamiiForums Tanzania Nakaaga kwenye kakibanda kangu kapo kuu ya Dar-moshi, mwaka huu chaga wamebadili njia ya moshi?

    Sasa hivi wanadai wanatumia fastjet na bombadier
Back
Top Bottom