Hizi taka taka barabarani zinakera mno. Yaan nakumbuka enzinza tex maisha yalikuwa mazuri. Hawa waharibifu hata sijui nani amewaleta. Ni kero kero barabarani, kwenye ndoa, usalama wa mahouse girl, watoto wetu wa kike yaani ni tafrani.
Siku akaja kiongozi mkuu wa nchi akatoa oder ama...
Ninashuhudia walimu wa vyuo vikuu wanawake wakiwa na virus na wengine wakiaga Dunia.
Walimu wa vyuo wa umri kati ya 35-50 sio salama kwa nyie G-zee.
Unalikuta ni linene ni mnene kumbe ni muathirika.
JAMBO lingine bodaboda wamemaliza MTAANI Sasa wamerejea vyuoni. Wanafunzi weng wa vyuo vikuu...
Mambo ya maana sana haya. Yule local fundi anaweza akapatikana hapo hapo shule yamkini wakawa wanafunzi wao wenyewe.
Wazi hili hufanans sana na MUHAS NK MADAKTARI WANAPATIKANA PALEPALE HOSPITAL
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.