Hizi ni muhimu sana wengi tumepotelea Kuwa na mawzo mazuri ila utekelezaji wake ndio changamoto. Japo ni ngumu sana kuyaishi haya ni vizuri tukipata mbinu za kufikia matumizi mazuri ya fedha tunazizipata kwa Jasho
Aisee sidhani... kuna wengine vichwa ngumu. Ila papata shida kuwa adha ya watu kukosa ajira itakuwa ya kutisha zaidi. Walinu hao warnde shule binafsi mbazo magu anataka ada zidhudhwe hahahaaa huu ni utani.
Kwa sasa uhuru wa habari haupo, kila kitu kinaminywa ili kufanikisha jambo la watu wachache wenye maslahi binafsi wasiopenda maendeleo ..."tuombe sana Mungu huu ya amani ya taifa"
Tumewaangalia walimu.... Makondakta na Madereva nao wako kazini, ikiwa bure kwa walimu nani atakayewalipa vizuri hawa wenzetu amabao kila siku inatakiwa hesabu ya bosi...."tumewafikiria kwenye mikataba na haki zao je, hili nalo si litabadilisha maslahi yao pia? nafikiri serikali iangalie namna...
kila kiongozi ana mbinu zake anazoamiini zitaleta manufaa kwa anaowaongoza. sioni kosa kuliadhibu jambazi kwa kosa lake. so JPM naona yuko sawa. ukipinga maovu lazima uwe na maadui.
Tanzania bado ni nchi changa hivyo kunatakiwa mfumo madhubuti wa ukusanyaji kodi pia ukaguzi wa mara kwa mara wa vyanzo vya mapato na mapato hayo yatozwe kodi. hakuna maana kama huduma za lazima ni mbovu af, uje kuipata kwa gharama kubwa.
tunataka utuwekee mada za kujenga. chama hakita kupeleka popote. hivyo ungetuambia labda kuhusu athari au faida za mh. rais kuendesha nchi kwa mwezi sasa bila baraza la mawaziri.. ningeona mada imekaa mkao. any way rais bado anasiku za kutosha kutafakari na kuamua kuteua nani watakuwa mawaziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.