Kazi kazi kazi kazi

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,080
6,913
Waziri Simba chawene ametoa tamko la serikali kuwa , serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile ya moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu,.Wale waliosoma kwa kuunga unga ,mara kutafta credit,mara kurudia mitihan watafte ajira kwa mashirika binafsi.Serikali inataka kuwaajiri wasomi wenye cheti kimoja tu waliosoma moja kwa moja.System hii itaanza kwenye ajira za walim za mwaka huu 2016 zinazoenda kutangazwa mda c mrefu mwezi wa nne mwanzoni.simba chawene ameyasema hayo akiwa na waandishi wa habar pale jijin Dar leo majira ya asubuh ili kuwajuza watanzania kuwa ni tamko la serikali.
Rai kwa weny vyeti vingi,mtakua mnaomba ajira kivyenu serikalin au kwa mashirka binafsi na c kuajiliwa moja kwa moja kutoka serikali km ilivokua awali.
Samahan kwa usumbufu uliojitokeza.
Imetolewa na Afsa mawasiliano, wa Tamisemi.
Ndg.Elnest kimash
Dar es salaam.
 
Nadhani hii itafanya wanafunzi wawe makini madarasani.
Aisee sidhani... kuna wengine vichwa ngumu. Ila papata shida kuwa adha ya watu kukosa ajira itakuwa ya kutisha zaidi. Walinu hao warnde shule binafsi mbazo magu anataka ada zidhudhwe hahahaaa huu ni utani.
 
Waziri Simba chawene ametoa tamko la serikali kuwa , serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile ya moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu,.Wale waliosoma kwa kuunga unga ,mara kutafta credit,mara kurudia mitihan watafte ajira kwa mashirika binafsi.Serikali inataka kuwaajiri wasomi wenye cheti kimoja tu waliosoma moja kwa moja.System hii itaanza kwenye ajira za walim za mwaka huu 2016 zinazoenda kutangazwa mda c mrefu mwezi wa nne mwanzoni.simba chawene ameyasema hayo akiwa na waandishi wa habar pale jijin Dar leo majira ya asubuh ili kuwajuza watanzania kuwa ni tamko la serikali.
Rai kwa weny vyeti vingi,mtakua mnaomba ajira kivyenu serikalin au kwa mashirka binafsi na c kuajiliwa moja kwa moja kutoka serikali km ilivokua awali.
Samahan kwa usumbufu uliojitokeza.
Imetolewa na Afsa mawasiliano, wa Tamisemi.
Ndg.Elnest kimash
Dar es salaam.
Ondoa huu ujinga wako wewe..hivi hii sheria ya mitandao haifanyi kazi siku hizi..mtu kama wewe natamani ufungwe hata maisha kwakweli..umeweka uzi ambao umewasumbua sana wenzako..how does it profit you..you want to be famous?
 
Subiri kidogo utaamini,kwani nani alikutuma kufanya mtihani Mara kumi,utanikumbuka kwa kukuwekea taarifa mapema ili ujipange
 
Mimi ninaona serikali ingefuta utaratibu wa watahiniwa kutumia cheti zaidi ya kimoja hata wanapojiunga kwenye vyuo hapa nchini na sio kusubiria watoe vigezo lukuki wakati wa kutoa ajira
 
Subiri kidogo utaamini,kwani nani alikutuma kufanya mtihani Mara kumi,utanikumbuka kwa kukuwekea taarifa mapema ili ujipange
Taarifa hiyo imeandikwa kihuni mno ni ngumu kukubalika vinginevyo leta source ya habari yako.
 
Back
Top Bottom