Ukwepaji kodi ni hulka/ utamaduni kwa mfanyabiashara

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Ukwepaji kodi ni hulka ya wafanya biashara. Hii iko dunia nzima bila kujali kuna sheria kali kiasi gani za ukwepaji kodi bado watu wanakwepa kulipa kodi.

Watu wamekua wakilaumu na kushuutumu wafanya biashara wakubwa kama bakhressa kukwepa kodi wakati tayari wameishajiimalisha na wana uhakikka wa soko la bidhaa zao.

Wengine wakisema kwamba ni sahihi au bora kwa wafanya biashara wadogo kukwepa kodi ili kujijenga kimtaji na kujiimarisha na sio waliosimama kama kna bakhressa.

Ukwepaji kodi ni hulka ya wafanya biashara bila kujali uimara wao katika soko, angalia hata huko amerika na ulaya makampuni makubwa yamekua yakikwepa kodi au kutafta sehemu ya kukwepa kodi.

Tunaona makampuni ya IT makubwa kama Apple,Google,Microsoft yakituhumiwa kukwepa kodi au kuhamisha shughuli z uzaishajo kwenye nchi kama Ireland ambazo kodi ni kidogo, hivyo hivyo kwa makampuni mengine ya mafuta,utafti,.madini,nk.

Wacheza mpira,wanamichezo, wanamuziki,waigizaji na wengine wote wanakwepa kodi na mifano iko dhahiri.

Kwa mifano hoyo tunaona kukwepa kodi ni hulka ya watu wote bila kujali uwezo wao katika soko hasa pale nafasi inapopatikana lazimawtawep kodi.
 
Tanzania bado ni nchi changa hivyo kunatakiwa mfumo madhubuti wa ukusanyaji kodi pia ukaguzi wa mara kwa mara wa vyanzo vya mapato na mapato hayo yatozwe kodi. hakuna maana kama huduma za lazima ni mbovu af, uje kuipata kwa gharama kubwa.
 
Ukwepaji kodi ni hulka ya wafanya biashara. Hii iko dunia nzima bila kujali kuna sheria kali kiasi gani za ukwepaji kodi bado watu wanakwepa kulipa kodi.

Watu wamekua wakilaumu na kushuutumu wafanya biashara wakubwa kama bakhressa kukwepa kodi wakati tayari wameishajiimalisha na wana uhakikka wa soko la bidhaa zao.

Wengine wakisema kwamba ni sahihi au bora kwa wafanya biashara wadogo kukwepa kodi ili kujijenga kimtaji na kujiimarisha na sio waliosimama kama kna bakhressa.

Ukwepaji kodi ni hulka ya wafanya biashara bila kujali uimara wao katika soko, angalia hata huko amerika na ulaya makampuni makubwa yamekua yakikwepa kodi au kutafta sehemu ya kukwepa kodi.

Tunaona makampuni ya IT makubwa kama Apple,Google,Microsoft yakituhumiwa kukwepa kodi au kuhamisha shughuli z uzaishajo kwenye nchi kama Ireland ambazo kodi ni kidogo, hivyo hivyo kwa makampuni mengine ya mafuta,utafti,.madini,nk.

Wacheza mpira,wanamichezo, wanamuziki,waigizaji na wengine wote wanakwepa kodi na mifano iko dhahiri.

Kwa mifano hoyo tunaona kukwepa kodi ni hulka ya watu wote bila kujali uwezo wao katika soko hasa pale nafasi inapopatikana lazimawtawep kodi.

Sijakakuelewa unachotaka kukisema hasa nini? Kwamba ni sawa kwa wafanyabiashara kukwepa kodi, au kwa kuwa Wamarekani wanakwepa kodi basi na TanZania ndiyo lazima wakwepe? jaribu kunifafanulia kidogo kama ukipenda unachotaka kukisema!
 
Tatizo hauelewi kuna tax avoidance na tax evasion, hayo makampuni ya america na ulaya mengi yao yanafanya tax avoidance kwa kifupi tax avoidance unakua unatumia vifungu vilivyopo kisheria ku minimize kodi unayotakiwa kulipa mfano...kutumia hio misamaha ya kodi, kufanya biashara ambazo zimepewa kipaumbele na serikali mfano kilimo kwenye ununuzi wa matreka etc etc ila tax evasion hapo mtu halipi kodi kabisa ndio inayofanyika Tanzania, kimsingi hichi kitendo ni kosa la jinai...nimeshindwa kupata maneno sahihi kwenye hayo maneno
 
Back
Top Bottom