Recent content by Amanitwin

  1. A

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Kwa nini ninyi mpite naye? Alah anafanya nini wakati huo? Kwanini Alah asipite naye? Its either Allah hayupo au ni powerless and weak, anayehitaji kutetewa na kupiganiwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Unamtetea Mungu. Huyo mungu anayehitaji kutetewa na mwanadamu ni Useless and powerless.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nini Tofauti ya Home Theatre na Sond Bar?

    Home thearte sio kwa ajili ya mziki.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

    Riba ni haramu, lakini kut*mba mtoto wa miaka 9 anayechezea midoli ni halali. Hii dini inabidi mtu ujizime data ili uielewe.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

    Just basic history Mtume wa mungu gani? Kama ni mungu Alha Kwa hiyo hao wenyeji(Cannites) ndio hao wapalestina? Unaona mnavyojichanganya!!! 1. Mara mseme Wapalestina ni wana wa israel waliotajwa kwenye Quran ila walibadili dini kuwa waislam 2. Mara mseme hao wenyeji waliokutwa na waisrael...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Waislamu sikukuu ya mwaka mpya sio yenu, mligomea xmas na hii mtuachie wakristo

    Unamjua huyo Gregory ambaye calender inatumia jina lake alikuwa nani? Alikuwa Papa Wa kanisa Katoliki. Nenda google search Pope Gregory XIII. Kanisa ndio lilitengeneza hii calender chini ya papa Gregory.... na ndio maana Inaitwa Gregorian calendar Gregorian calendar ni kazi ya kanisa.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

    Wapalestina Waliwahi kupewa hifadhi nchini Jordan mwaka 1970 baada ya kupigwa na Israel. Cha ajabu baada ya muda wakiwa hapo Jordan wakataka kumpindua Mfalme wa Jordan, King Hussein... ambaye mwanzo ndiye aliwakirimu na kuwakaribisha. Tukio hili huitwa The BLACK SEPTEMBER. Just google Black...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Historia ya Qur'an

    Hivyo vitabu vya Alah vya Torati, Zaburi na Injili Umewahi kuviona? Mohamad amewahi kuviona? Nitajie mtu mmoja tu aliyewahi kuviona.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Budget yako ni kiasi gani? I have good news for you.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hakuna mziki mzuri wa laki 3 mpaka 5
  11. A

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

    Wayahudi walimzidi Mudi kila kitu. Hata alipoanzisha movement yake ya Uislam ilibidi aige story za vitabu vya wayahudi. Hata manabii aliokoteza manabii na watu maarufu wa kiyahudi (eg Musa, Suleiman,Daviid) akadai ni wa uislam... Pili, Hawaitwi mayahudi...wanaitwa WAYAHUDI. Mudi aliwachukia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

    Kama myahudi ameweza kupandikiza top leadership ya Misri, UAE, Kuwait,Qatar na Saudi basi ni wazi kuwa Myahudi amewazidi waarabu akili sana. Wayahudi walimzidi mpaka Mudi akili ndio maana kwenye Quran ameishia tu kulalamika na kuwatupia laana...ambazo hazijafanya kazi mpaka leo. Toka miaka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania If you are going to buy a new Smart TV then these tips will be useful

    Inch 32 ni TV kubwa? Unashangaza aisee
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Ni wapi Mungu amekuagiza upeleke fungu la kumi kanisani? Na amekuambia ukilipeleka kanisani ni nani anatakiwa alipokee?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Mchungaji anachunga kondoo. Sio zaidi ya hapo. Ni mchungi wa kondoo wa Yesu. Kuhani ni KIUNGANIKO kati ya Mungu na wanadamu wakati ule ambapo Yesu alikuwa hajaja. Watu waliweza kumfikia Mungu kupitia Kuhani. Na kazi ya kuhani ilikuwa Kutoa sadaka za kuteketezwa...zile za kuchinja wanyama. Na...
Back
Top Bottom