Recent content by Amani Mikakati

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii cartoon noma, imefikisha ujumbe rasmi

    hatari sanaaaaa,,,,,,
  2. A

    JamiiForums Tanzania CCM ya Kikwete na Magufuli, Full 'Udikteta'!!

    lowassa anatosha, pombe atasubiri 2035 tutampa nchi akiwa ameshakomaa ki akili.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Juma Duni: UKAWA imebaini kuna kura hewa milioni 9

    bao la nape kazini hi ni hatari kwa taifa lzm tupate ufafanuzi la siyvo kuna wstu the hugue inawasubiria
  4. A

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya kushindwa vibaya kwa CCM yatanda kwa makada wake

    na bado kazima mwigulu apige kilio cha mbwa mwizi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Bendera za CCM zaiteka Arusha

    Kuna kilaza m1 wa ccm ameweka bendera kwenye miti yote ya mji wa moshi ukienda kwenye nyumba za uswali zote ameweka picha mpaka anatia huruma sna, nasikia anampango wa kutandika kitamba cha kijani kweny barabara zote za lami mjini moshi. Hapa kazi tu
  6. A

    JamiiForums Tanzania CCM yazidi kupukutika Arusha, Mwenyeviti wawili wahamia CHADEMA

    Jamani nape,kinana,jk na mzee wa tingatinga watapata mshtuko wa moyo na shinikizo la damu bure. Ukawa kuweni na huruma japo kidogo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA, CUF, NLD NCCR-Mageuzi (UKAWA)

    Ila ccm lazma ipigwe bao la kisigino hawataamini macho yao
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya UKAWA

    Rabbish
  9. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015

    Utasikia wanadai tumecopy na kupaste, mwaka huu wataisoma namba wajinga wale
  10. A

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    sikujua maccm ni hopeless kihasi hichi, ila twende kazi tutajua mbele ya safari, ila wallai uhuni huu atalia mtu siku moja.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya kutengeneza yana madhara makubwa

    Umesema vizur sna ila kwa miccm maneno kama haya hawapendi kusikia kabisa kwani kwao ni kama harufu ya kinyesi cha paka
  12. A

    JamiiForums Tanzania Acer Dealer kwa Dar wanapatikana wapi?

    mkuu naomba location vizuri wengine tupo mbali na tuna shida ya keyboard aspire 5735-6694 kama una mawasiliono ya hilo duka, in short more details ili niweze kufika hapo kwa urahisi zaidi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    utathani ametubeba mgongoni kweka. Mwaka lazima atazimia mtu kwa mshtuko wakimuona lowassa pale sittingroom ikulu
Back
Top Bottom