Juma Duni: UKAWA imebaini kuna kura hewa milioni 9

Juma Duni: UKAWA imebaini kuna kura hewa milioni 9

Chenge

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
1,073
Reaction score
378
Hayo ni kwa mujibu wa mgombea mwenza wa Chadema Babu Duni. Amesema NEC wamendaa vituo vya kupiga kura 22,000 ambapo kwa idadi ya wapiga kura 450 kwa kituo ni jumla ya wapiga kura takribani milioni 33 tofauti na takwimu za Tume za wapiga kura milioni 24.

Chanzo: Channel ten habari
 
Amechanganyikiwa huyu mzee arudi kwake akale chapati tu sisi tunataka sera yeye anazungumza ujinga na kuleta mambo ya ukatuni.
 
Hayo ni kwa mujibu wa mgombea mwenza wa Chadema Babu Duni.Amesema NEC wamendaa vituo vya kupiga kura 22,000 ambapo kwa idadi ya wapiga kura 450 kwa kituo ni jumla ya wapiga kura takriban milioni 33 tofauti na takwimu za tume za wapiga kura milioni 24

Source: Channel ten habari

Sasa hiyo ni speculation
Babu aache kupiga kelele anajiaibisha.
Inawezekana kabisa kuna kura hewa lakini hii ni speculation!
Wafanye uchunguzi wa maana si mahesabu ya estimates
 
Hayo ni kwa mujibu wa mgombea mwenza wa Chadema Babu Duni.Amesema NEC wamendaa vituo vya kupiga kura 22,000 ambapo kwa idadi ya wapiga kura 450 kwa kituo
ni jumla ya wapiga kura takriban milioni 33 tofauti na takwimu za tume za wapiga kura milioni 24

Source: Channel ten habari

bao la nape kazini hi ni hatari kwa taifa lzm tupate ufafanuzi la siyvo kuna wstu the hugue inawasubiria
 
ukiwa na akilo zilizo timia uwezi kukataa hama kukubali. Utafanya uchunguzi
 
Kauli za uzushi kama anaushahidi autoe vinginevyo ni kukata tamaa.
 
Tunawashukuru sana wasamalia wema mnaovujisha uovu wa tume , Mungu awalinde sana .
 
Tujiulize,kama kuna mtu aliripotiwa kukamatwa na mashine ya BVR nyumbani kwake kipindi watu wanaandikishwa,je huko zilipo zina usalama gani?! Na je haziwezi kutumika kurudufisha viitambulisho?!

Bukoba juzi juzi hapa kumekammatwa rundo la kadi za kupigia kura ilihali NEC wamekaa kimya tu!!!!
 
Amechanganyikiwa huyu mzee arudi kwake akale chapati tu sisi tunataka sera yeye anazungumza ujinga na kuleta mambo ya ukatuni.
mmefumaniwa mchana kweupe ! Lumumba imepigwa ganzi , safari hii haibiwi mtu kudadeki ! Mungu yupo kila mahali , na bado , mengi yatafumuka wiki ya mwisho , mmeshikwa pabaya sana wanafiki wakubwa nyie !
 
Amechanganyikiwa huyu mzee arudi kwake akale chapati tu sisi tunataka sera yeye anazungumza ujinga na kuleta mambo ya ukatuni.

Wew ndo umechanganilkiwakisukule wa kiccm . Wacha kwanza the Hague inawahusu na huu mpango wenu wa wiz wa kura mtalowana tu mwaka hu
 
Mfa maji haishi kutapatapa ccm mbele kwa mbele magufuli rais awamu ya tano kwani hamna namna tena
 
Hakuna Baja yakurudisha majambazi ccm Leo hata roleni ya magari in awash in a hawafai hawa
 
Sasa hiyo ni speculation
Babu aache kupiga kelele anajiaibisha.
Inawezekana kabisa kuna kura hewa lakini hii ni speculation!
Wafanye uchunguzi wa maana si mahesabu ya estimates
kuna kitu mtu wa ukawa atasema wewe ukakiona cha maana??

sasa tofauti yake na wewe ni ipi?? wote mnaspeculate tu lakini wewe kwa akili yako unajiona uko better

pole
 
Ndiyo sababu Magufuli ameng'ang'ana na ushindi wa 99% wakati hali halisi inajionesha.Hata wakati wa chama kimoja[monopartism] baba wa Taifa hakuwahi kushinda kwa 99% sembuse sasa hivi na hali hii ya ushindani.
 
Hayo ni kwa mujibu wa mgombea mwenza wa Chadema Babu Duni. Amesema NEC wamendaa vituo vya kupiga kura 22,000 ambapo kwa idadi ya wapiga kura 450 kwa kituo ni jumla ya wapiga kura takribani milioni 33 tofauti na takwimu za Tume za wapiga kura milioni 24.

Chanzo: Channel ten habari

Mzee kapanikishwa na matukio ya Arusha huyu.
 
Back
Top Bottom