Anaandika @aman_martins
Hapo Juu ni picha iliyonivutia kutoka katika tukio la Uzinduzi wa Kampeni za CCM. Picha iliyobeba historia kubwa ya nchi yetu inayoambatana na kampeni za mwaka huu: Ni mara ya kwanza kwa Chama Cha Mapinduzi kumsimamisha mgombea mwanamke kuomba Urais, na ni mara ya...
Anaandika @aman_martins
.
Hapo Juu ni picha iliyonivutia kutoka katika tukio la Uzinduzi wa Kampeni za CCM. Picha iliyobeba historia kubwa ya nchi yetu inayoambatana na kampeni za mwaka huu: Ni mara ya kwanza kwa Chama Cha Mapinduzi kumsimamisha mgombea mwanamke kuomba Urais, na ni mara ya...
Wana katabia ka kukurupa...kufanya vitu bila uhakika. ...mwanzo walijaribu kutuaminisha kwamba Lugumi ni "jipu".....leo wanataka siku 30 kuchunguza. ....Kamati hii tia maji tia maji sana
Kwa majuma kadhaa sasa, baadhi ya Wanasiasa wamekuwa na hoja ya kuhusu Mkataba Tata wa Lugumi .
Kwa namna ambavyo walikuwa wakizungumza ni kana kwamba tayari wana uhakika kwamba kampuni ya Lugumi haikutekeleza mkataba. Baadhi ya watu walidai kwamba kampuni ya Lugumi ilipata Tenda kinyume na...
Africa ni Bara la pili kwa idadi ya watu Duniani baada ya Bara la Asia. Wananchi wengi wa Kiafrika wanapitia maisha magumu kiasi cha wengine kuishia kupata mlo mmoja tu kwa siku. Haihitaji kuwa na Shahada ya Uchumi ili kuweza kufahamu kwamba nchi nchi nyingi za Kiafrika bado zina uchumi wa hali...
Moja ya siri zinazoweza kukusaidia kufanikiwa katika biashara ni kuweza kujifunza kutoka kwa wafanyabiashara Waliofanikiwa. Ni busara na vyema sana kuangalia waliofanikiwa katika biashara walipitia njia gani ili na wewe uweze kuzifuata njia hizo, na kama zina makosa uweze kuziepuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.