I like this dr ,niko into discomfort icyo ya kawaida baada ya kuhic niko na tatizo la mental health OCD ,yaan cjui ndio kuwa confused kwenyewe huku I need help for this current time
Jaman ndugu zang naomba kuuliza juu ya hii Hali
Sijui Kama ni Hali tuu ya kawaida!!?
Kwani huwa napata hali ya kuwa nashahuku ya kubonyeza juu ya kucha zangu mara kwa mara ama kucha kuingiza ndan ya kucha nyingine katika mkono huo huo kwa kuhisi labda kuna uchafu ( that how far i ve tried to...
Yier this is very true kuwa hii ni mental health problem nd I think depression were you experience long time sadness with no reasons , myself I doubt of having OCD ndio maana I visit much via forums to get clues nd I expect to see a pyschiatrist currently .Guys for what I come to realize ni...
Ndugu zangu huu uzi nmefurahia sana na na natamani hili liweze fika mbali sana sbb watu wengi wanna mental issues sema hawatambui ,sbb mm mwnyw hapa npo nafanya mpango niweze onana na psychiatrist kwan ninahofu pengine nikawa Nina OCD ,ivyo jaman huu uzi uweze kufika mbali jaman hadi kwa uyo...
Ndugu zangu ni 2020 ila nmependa sana hii thread nataman conversation iendelee sbb najihisi mm nimuhusika sana wa OCD ,nazid kutaman kujua kuhusu dawa zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.