kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,335
- 7,744
- Thread starter
- #21
Hapana nimefanya ngono sana mkuu,am above 40,nimefanya sana for fun na wanawake tofauti.Nimefanya na niwapendao kwa asilimia 100,Napendwa na wengi lakini nawaona wa kawaida kabisa.Sina furaha na maisha tu,kama nimekata tamaa vile.Nilipokuwa nalipwa gross 1.255m nilikuwa nafuraha sana sana sana japo pesa nilikuwa naiona ndogo 935 net.Nilipoanza hii kazi mpya December last year nilikuwa nafuraha saaaaana kwa kipato nachopata kipya.Sasa hivi ile furaha imetoweka.Nakuwa ndani ya nafsi yangu nasema sistahili kulipwa mshahara huu,sifanyi kazi inayoendana na kipato hiki,namuibia mwajiri wangu,naahidi kesho ntaanza tofauti lakini kesho ikifika nakuwa na unyonge ule ule.Hapo kwenye red ndipo kwenye tatizo lako. Haijalishi unafanya masterbation kidogo sanaaaa, au kwa wingi. Bado tatizo linabaki palepale. Na hasa kama tokea umezaliwa hujafanya ngono na mwanamke, bali ngono yako ni mkono. Acha hicho kitu, then utarudi katika hali ya kawaida.