Hali gani hii? Je, watu wengine huwa mnapata?

Am mackdy

Member
Joined
May 9, 2020
Posts
30
Reaction score
5
Jaman ndugu zang naomba kuuliza juu ya hii Hali

Sijui Kama ni Hali tuu ya kawaida!!?

Kwani huwa napata hali ya kuwa nashahuku ya kubonyeza juu ya kucha zangu mara kwa mara ama kucha kuingiza ndan ya kucha nyingine katika mkono huo huo kwa kuhisi labda kuna uchafu ( that how far i ve tried to explain) ambayo Kama mwaka mmoja ivi uliyopita nilipata hii Hali na juu ya kwamba niko na kucha ndefu nikahisi pengine ndio imepelekea, ivyo nikabidi nikate zile kucha ndipo nikawa fresh sikupata zile mawazo tena kwa muda mrefu na baada ya Kama 9 months ivi kuna hali fulani ivi nilikutana nayo ikanipelekea kuhisi pengine ndio ilinifanya nikawa na ile hali, sasa naona ile mawazo imerudi tena
 
Majini yanapenda sana kuwasiliana kupitia vidole na kucha
 
Back
Top Bottom