Recent content by alvoo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameanza kuishi kwa uwongo na udanganyifu!!

    Kwani Hugo Edo akiwa Chadema umeambiwa ataitetea hiyo ya CCM????
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    Lizabon NIPE JINA LA RAISI UKIMTOA LOWASSA
  3. A

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mnyika kwa Zitto ya Ubunge Ubungo 2010

    Hahahahahhahaha Mnyika huna haja ya kulumbana na wendawazimu, sasa kama msaliti asiambiqe ukweli?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Jinsi Zitto alivyompigania Mnyika Jimbo la Ubungo 2010!

    Akili fupi ni fupi tuu!!! Acheni kutafuta kick kwa kujishika na mnyika. Mmesha amua kufanya yenu fanyeni yanu. Mbona hata huyo ZZK anaujua ukweli ama nyinyi mmekunywa maji ya bendera?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Yanga: Mechi yetu na Etoile du Sahel haitaonyeshwa runingani

    Hapa ni kuwa challange ili mnunue tickets na mkaangalie
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT-Wazalendo mkoa wa Dodoma (Tarehe 14 Aprili, 2015)

    Bado hainiingi akilini kusema mamvi atajiunga na ACT, swali ikiwa atajiunga na ACT je baraza la mawaziri atalitoa wapi ikitokea kushinda kwa kupitia ACT?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Je anajua wengine walikuja kumshangaa tuu?
  8. A

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo: Mkutano mkubwa Morogoro (ngome ya CCM) - Aprili 13, 2015

    Mbona sioni watu wakijiunga kwenye mikutano ya ACT?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu used kama dressing table, masofa, sabufa. Angalia bei ni chee

    Weka picha za sofa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichosababisha Sugu kung'aka, "Mimi sio mbunge wa wasanii''

    What is the function of shadoq minister?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shibuda si riziki CHADEMA

    CHADEMA IMELENGA KICHWA NA SIO MKIA AKINA SHIBUDA. Shibuda analia na hela ambayo imakatwa na zitto kutokuipata tena maana alikuwa anakula kila mwezi kwa ajili ya usaliti wao
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu rudi Shule

    Mpe moyo ila kumbuka katiba hiyo naye alishiriki kuitunga so kama sheria ujuavyo ni msumeno na safari hii imekula kwake
  13. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    Kwenye uadui umeongopa na umekuja kaa malengo ya kumsafisha. Baada ya ya ZITTO kuunga mkono PENDEKEZO la CHENGE makinda alipitisha lile azimio, then ZITTO aka pendekeza kuwa kwa hayo mambo saba yaliyobakia nayo yaachiwe mamlaka zilizo wateua, makinda nae akauliza wabunge nayo yakapitishwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Mwigulu hili song linunue maana ulisha lianzisha, so sijui una lalama nini. Kama KITILA kwako ni lulu mbona alifukuzwa CCM? Na kama ww ni mwema na lijichama lako wachukueni maana nyie ndo mna akili kubwa. Akili kubwa naona inapoteza maana, kama akili kubwa ndo hiyo unayo idefine kwa hawa na ww...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Dar Derby: Who will triumph, Simba or Yanga?

    Mm shabiki wa yanga but inapokuja suala la simba na yanga kuna mafedhuli nina yaona ni mapuuzi. Simba wana wanunua vijana wa jangwani yaan kinsingi vijana wa jangwani hawana uzalendo hata kidogo. Wanafanyiwa mengi ya kutosha lkni nado njaa sana tuu. Simba nikiri tuu ni timu inayo mshikamano...
Back
Top Bottom