Recent content by Alvin cloud

  1. Alvin cloud

    Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Unaagiza toka wapi yan labda kwa mfano.... Na kwa mda gani labda
  2. Alvin cloud

    Hii sio kawaida kwa kweli mawakala wa miamala tunaanza kupata maumivu tartibu

    Duh...awe mbunifu kivipi yaan awe anatoa pesa na kutoa pole AU??? hebu tupe ufafanuzi hapo
  3. Alvin cloud

    Nani mjinga? (Mawazo ya biashara)

    Story yako inajaribu kufix majibu unayohitaji kuyasikia ila kwa uelewa wangu mjinga anaweza kuwa yoyote kati ya hao... Ulio wataja maana wapo walosoma wakafanikiwa kupitia elimu zao na nje ya elim zao pia wapo ambao wamefeli shule ila hawana maisha wala nin na pia wapo wenye maisha pia...
  4. Alvin cloud

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nalog off nkatafte hata bia za ofa
  5. Alvin cloud

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Daah yaaan moshi umeme ni wakiwaki axee........ Ni keroooo yan matatzo kibao...kila siku umeme unasumbuaaaa
  6. Alvin cloud

    Wimbo wa Utambulisho Msanii mpya Wa WCB (Zuchu)

    Mkitaka afanye mnachokitak msajilini wakwenu kwa label zenu....... Ngoma Kali tu we unaesema mbaya useme unataka Nini msanii wako akuimbie sie imetupendeza hivyooo....... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Alvin cloud

    Wasanii wa Tanzania msione aibu kumtumia Kenny wa Zoom Production ku-shoot video zenu, eti kwa kuwa kampuni inamilikwa na Diamond !

    Wakuu naomba kuuliza gharama za video kwa hanscana na hyu Kenny yoyote anaye fahamu anijuze........ Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Alvin cloud

    Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Nakubali Sanaa point yako mkuu Elimu hii inaniandaa nifanye Nini mtaani zaidi ya kutegemea tu ajira axee Ni saw na mtu afundishwe kuvua samaki then apelekwe jangwani au porini akawinde two things contrary differ!!...... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Alvin cloud

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Infinix s3 Ram 3gb Storage 32gb Moshi town inapatikana 200k tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Alvin cloud

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Infinix s3 Storage 32gb Ram 3gb Bei 200k(laki 2 net) Maeneo Moshi town inapatikana. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Alvin cloud

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mbona mi nko na Ttcl na sijaona hii toka lini labda
  12. Alvin cloud

    Mzee wa kuokota! Nimeokota hii hapa!!

    Dadekii respect to men's xee sie ni xhda aaah[emoji735][emoji735][emoji735][emoji735][emoji735][emoji735][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
  13. Alvin cloud

    Naomba kujulishwa vigezo vya selection za masomo ya science mwaka huu zipoje

    by the way nlimaanisha!!!!!!!!!!!! how about grades u have they do they can make you get such combination example!!! PCB all of them you got grade C EN Math u got grade D is that an obstacle for u to learn PCB. I meant that!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. Alvin cloud

    Naomba kujulishwa vigezo vya selection za masomo ya science mwaka huu zipoje

    duh nko na wasiwasi na brain function yako cz amna cha ajabu hapo sema hujaelewa uelekezwe mwisho na kama huelewi hayo matatizo yako.
Back
Top Bottom