Recent content by Alpha97

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mnapataje wateja wa kutengenezewa websites na web solutions ?

    Habari wadau, naomba ushauri. Ni njia gani nzuri na practical ya kupata wateja wa kutengeneza websites? Nimejaribu kuwa-approach watu moja kwa moja, lakini nimeona changamoto kubwa ni pale ninapotaja bei—nahisi kama bei zangu zinaonekana kuwa kubwa. Mbali na kutengeneza websites, pia nafanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mashine imegoma kusimama siku ya tatu, naombeni ushauri

    mtafte uyo maza mzee.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    we jamaa unaubongo matakoni si bure. [emoji23]
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

    [emoji23][emoji23]oya natest hii mkuu nakupa majibu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    sad reality. [emoji23][emoji736][emoji736][emoji736]
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

    Mwanaume hafokewi. anaambiwa. 😁
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nombeni Msaada: I think jamaa kaniroga

    Sikia mzee.. we amka usiku sali Muombe mungu. Hili ni jaribu na litapita tu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

    Boss sector zinatofautiana. kwanz anabidi ujue kuna Mjasili amali, Mfanya biashara Na Muwekezaji... zote ni biashara lakini zinatofautiana Capital. At least ili upate uhakika wa faida.weka scale 1:10 yani. mtaji 10,000 Faida 1000/= Mtu anaepata faida ya million 100 kwa kwa mwezi ovios kaweka...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kupokea wageni

    we jamaa bana., perheps tuna perspective tofauti lakini , ndugu ni baraka. Pengine Lizki yao ipo kwako. the moment wanakata nayo inakata.... wafurahie tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

    Mapenzi haya, anyways tafta options unaumia kwa sababu huna options, move out from your comfort zone Tafta wanawake wengine.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyofundisha software engineering Tanzania

    Pia Ifm wanafundisha Computer Science.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    na io mtawasingizia vijana wa chuo au vijana wa sinza 🤭
Back
Top Bottom