Nashukuru Kwa ushauri mzuri.
1. Sio mara ya Kwanza kujua ana mahusiano nje ya ndoa
2. Mimi sio mchepukaji yaani sijawahi chepuka. Hivyo sipendi usaliti
3. Sijamuhukumu ndio maana nimemsamehe, sijampiga, sijamgusa, wala kumtukana. Na Mali zote nimemuachia ili asipate shida mwanzoni, najua baadae...