Recent content by alph

  1. A

    JamiiForums Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Nimepimwa nimeambiwa nina hepatitis C, ni ugonjwa gani huu na unatibiwa je? Naomba msaada wenu.
  2. A

    JamiiForums Ukweli acha tunene wahaya ni kabila linalochapa kazi kwa uaminifu kabisa hapa tz

    Kabila gani nyingine inawafuatia wahaya kwa kuchapa kazi? ila majungu usipime!
  3. A

    JamiiForums Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Serikali tatu is the " Right Thing at Wrong Time", An ideal situation in imposibilities. that is tantamount to Nothing.
  4. A

    JamiiForums Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Suluhisho hapa ni kuwa na serikali moja tu. zanzibar iwe mikoa kama ilivyo ya Tanzania bara. serikali tatu hazitatekelezeka ni kama kuvunja muungano tu. sasa hivi fedha (bajeti) haitoshi, itakuwaje serikali ya muungano isiyokuwa na mapato yake itegemee serikali hizi zisizojitosheleza? nani...
  5. A

    JamiiForums Mikoa inayokula ndizi iko juu

    Ustawi wa ndizi uko related na certain weather ambayo missionaries waliipenda hivyo wakajenga mashule na wakapata fursa za kusoma mapema na huduma zingine. scientifically proteins ndo inajenga brain. so to say wala samaki, dagaa, na nyama/ maharage wangekuwa juu zaidi. hivyo si kweli kuwa wako...
  6. A

    JamiiForums Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

    Mhe. nchimbi dhahabu nzuri ni ile iliyounguzwa sana.
  7. A

    JamiiForums TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    suala la dini , ukabila, ukanda, na vingine kama hivyo havitakiwi kufikiriwa kwenye posts kama hizi. na tukiviendekeza tutegemee kurudi nyuma tu. ila kama wanaotajwa wapo doubtful waachwe kwa kuwa kuna wataalamu wengi sana sasa hivi. Dr. Patrick Mugoya is one of them, talk of Dr Assad Mussa...
  8. A

    JamiiForums Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

    Mkuu acha tu hiyo biashara imekushinda ukiwa fresh utaendelea kwa sababu haina maana unachofanya.
  9. A

    JamiiForums VIGEZO: maajabu 7 ya dunia

    Mkuu yanatafutwa maajabu natural sio Kama hayo!!!! Ya design hiyo mbona mengi, hat a umasikini tulionao ukilinganisha na maliasili pia ni maajabu. Pigs kura tu Mzee ]Wadau. It doesn't make sense to me kwamba tunakazania kuuingiza mlima Kilimanjaro kwenye kinyang'anyiro cha kuingia list...
  10. A

    JamiiForums Kuchangia harusi au maendeleo?

    Wanandoa wenyewe walishaoana siku nyiiiingi sana tunachangia divorce.
  11. A

    JamiiForums Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    The opposite is also true in Tanzania. Si umeona Mmeona Mwanza
  12. A

    JamiiForums Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    CDM acheni harakati mfanye siasa kila siku ni mafisadi tuuuuuuuuuu, mkipewa nchi mkathibiti mafisadi then? Elezeni mipango ya kuendeleleza nchi na kuhudumia wananchi. Kushika dola sio mchezo huwezi kwenda pale na agenda moja tu ya kudhibiti ufisadi.
  13. A

    JamiiForums Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    The opposite is also true in Tanzania. Si umeona Mae yews Mwanza.
  14. A

    JamiiForums CHADEMA furahieni kupoteza umeya wa jiji la Mwanza, ni bahati sana kwenu

    Mtoa hoja jitahidi uwe objective, hayo mataizo yamekuwepo tangu CDM wakishiklia umeya hivyo wangejitoa Kama wanachosema ni kweli vinginevyo wangepigana kubadilisha hali hiyo na ndicho tulichotegemea sisi wapigakura wa mwanza. Kuyasema hayo baada ya kushindwa NO!!!. Issue napa ni kwamba CDM...
Back
Top Bottom