Recent content by ALOYCE MPANDANA

  1. ALOYCE MPANDANA

    Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    China kwenyewe dollar inakubalika sanaaa ila nenda na Ela ya China Marekani ndio utajua
  2. ALOYCE MPANDANA

    Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Wanatopokaaa sanaaa as if Marekani storage Yake ya mafuta ni ya mwezi mmoja
  3. ALOYCE MPANDANA

    Nataka kujilipua kutoka gheto la 30,000/= hadi 100,000/=

    Chukua iyo apartment ili uongeze bidiii ya kutafuta pesa
  4. ALOYCE MPANDANA

    Hili ndio wazo langu la biashara nahitaji mchango wa mawazo zaidi

    siku izi ukitaka kuanza biashara yoyote unatakiwa kujiuliza aina ya wateja wako watakuwa ni wapi iyo business yako peleka masaki na kwingine ambapo ni ushuani ila uku kwetu hawatoweza gharama. la pili la kujiuliza jeee biashara yako inaenda kumpunguzia matatizo gani unaayeenda kumuuzia mfano...
  5. ALOYCE MPANDANA

    Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Bajaji endesha mwenyewe mfano uku kwetu watu wameajiriwa but daily wanalala na 30000 au 25000 ashatoa pesa ya mwajiri hapo, endesha mwenyewe then weka 30000 daily baada ya kutoa gharama zote za kula na vitu vingine. 30000 mara mwezi ni 900000 na jee tisa mara 12 i mean mwaka ni 10800000, then...
  6. ALOYCE MPANDANA

    wakenya na chuki zao za migogoro hatari ya ardhi.

    Kwan kauli ngapi zimetolewa Tanzania na amjafanya kitu
  7. ALOYCE MPANDANA

    Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Pesa za mfuko wa jimbo ni za wananchi
  8. ALOYCE MPANDANA

    Natafuta kazi ya ushonaji wa nguo za kike na kiume

    Kwaheli mama Jamii forum ni home of great thinkers
  9. ALOYCE MPANDANA

    Natafuta kazi ya ushonaji wa nguo za kike na kiume

    Pia make up na urembo kwa mwez unatumia shingap pambana nunua cherehani
  10. ALOYCE MPANDANA

    Natafuta kazi ya ushonaji wa nguo za kike na kiume

    Cherehani shingap... Smart phone unayotumia inaweza nunua cherehani ngapi
Back
Top Bottom