Natafuta kazi ya ushonaji wa nguo za kike na kiume

Jan 22, 2017
27
4
Habar wana JF mm nina ndugu anatafuta kazi tajwa hapo juu,nifundi mzuri na anashona vzur nguo za kiume na za kike!kwaio naomb mweny kuhitaji mfanyakaz wa hio kaz anitafuta, natanguliza shkran
 
Mbona simple sana, nunua cherehani fungua office yako upige hela , acha mawazo yakuajiriwa ajiriwa
 
Nani sasa hapa anatafuta kazi? wewe au ndugu yako? Mbona kama sijaelewa vile.

Anyway watakuja wenye ofisi za ushonaji watakusikiliza
 
Nani sasa hapa anatafuta kazi? wewe au ndugu yako? Mbona kama sijaelewa vile.

Anyway watakuja wenye ofisi za ushonaji watakusikiliza
Pale juu pameandikwa uombaji wa aina ya kaz pil maelezo yanajitoshereza nakwakua umesem nisubir wahusika poa ahsante
 
Habar wana JF mm nina ndugu anatafuta kazi tajwa hapo juu,nifundi mzuri na anashona vzur nguo za kiume na za kike!kwaio naomb mweny kuhitaji mfanyakaz wa hio kaz anitafuta, natanguliza shkran
FUNDI USHONAJI (FUNDI CHEREHANI) (TAILORS)
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kushona nguo kulingana na mahitaji ya mteja.
• Kufundisha na kushauri mteja kulingana na huduma anayohitaji.
• Kutunza vitendea kazi vya ofisi.
• Kusimamia kazi zote za mteja.
• Kuweka kumbukumbu nzuri za wateja.
• Kutathimini (monitoring )viwango vya kazi zinazohitajika kufanyika
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Wawe na ujuzi wa kutumia aina zote za mashine za kushonea (Sewing Machine).
• Wawe na uwezo wa kushona na kudalizi
• Wawe wabunifu wa mavazi na uwezo wa kushona nguo za aina zote.
NB: MAWASILIANO 0717157640 /0754469894 Au tutmie barua ya maombi na CV yako ....mitcomputungtz@gmail.com
 
Back
Top Bottom