Recent content by Aloyce mk

  1. A

    CHADEMA BILA DR SLAA IMEPWAYA SANA!

    HBR WANAJAMVI! NAJARIBU KUANGALIA HALI YA KISIASA NCHINI KWA SASA NA NIMEGUNDUA KUWA KUNA TOFAUTI KUBWA WAKATI CHADEMA IKIWA NA DR. SLAA NA YA SASA BILA DR. SLAA. SIJAONA KUIBULIWA KWA HOJA NZITO ZENYE MASHIKO, SIJAONA MIKAKATI ENDELEVU SIJAONA LOLOTE NAONA TU CHAMA KIKIRUDI CHINI CHINI ZAIDI...
  2. A

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    MASHA AMPA MENGI SIKU SABA WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, amempa siku saba Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, kuthibitisha madai ya kutishiwa kuuawa na suala kwamba kuna waziri anayepanga kumfilisi. Pia amesema kuwa madai hayo ya Mengi ni mazito na umefika wakati...
  3. A

    Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

    je huyu masha katika wakati wake aliwatendea haki wapinzani?
  4. A

    Chadema hii sasa sifa!

    kweli mafuriko mwisho bondeni, mlimani tingatinga tu!
  5. A

    Kwa lita 5 za mafuta, siyo lazima kubadili chama

    Kwa lita 5 za mafuta, siyo lazima kubadili chama Dhana ya baadhi ya sisi Watazania ya kwamba kuondoa Mfumo wa utawala wa nchi ni lazima kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo ya Kiuchumi na maisha bora kwa kila mwanachi siyo sahihi. Dhana hii imekuwa ikitolewa mfano wa Kenya na...
  6. A

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://www.hulkshare.com/ukweli11/butiku-speech
  7. A

    Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    ulikuwa wapi wakati lipumba anapinga lowassa kuja ukawa, ulikuwa wapi wakati profesa safari alipolalamika kuibiwa kura wakati anagombea uenyekiti CUF hadi akahama. Ulikuwa wapi wakati CUF inasema chadema wanaingilia ngome yao temeke kwa kwenda kufanya mkutano wa hadhara. subiri mahanga agombee...
  8. A

    Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    we akishanunua kiongozi utaona watu wanafundishwa kubadili nyeusi kuwa nyeupe we angalia tu msigwa, lema, mnyika etc utachoka.
  9. A

    Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    juzi vitamblisho vya askari vinarekodiwa leo wanajeshi IT mbona nyinyi mnawapa bodaboda mafuta na elfu tano tano (yombo) hatusemi
  10. A

    Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

    Alikuwa prof safari lakini naye yuko cdm. Si unajua cuf chama cha maprofesa
  11. A

    Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    hatuwezi kuogopa kuchukua wanachama wapya sababu ya hofu ya mtu ...tunaendelea atakapokuwa tayari atakuja mbele ya safari-MBOWE
  12. A

    Lipumba: Umechelewa japo sio sana (someone has written it somewhere)

    Jumapili iliyopita katika kipindi cha watoto ITV Shangazi alikuwa anawasimulia watoto kisa cha wanyama kumtafuta mfalme. Ili kutochosha namalizia mwishoni wakati simba anachaguliwa kuwa mfalme. Kamati ya uteuzi ilimchagua simba atawale baada ya ‘kuomba’ ateuliwe yeye, kwa sababu tu wanyama...
  13. A

    CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

    CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa CCM ni chama kikongwe na chenye nguvu kubwa barani Africa. Ni chama pekee chenye mikakati chanya na yenyetija ukilinanisha na vyama vingine vilivyoleta uhuru Tanzania. Kwa muda mrefu chama hiki kimepitia...
Back
Top Bottom