Recent content by ALOMOLIE

  1. A

    Mbunge kukosoa serikali bila kutoa njia mbadala ni kutowatendea haki watanzania

    Hao akina Nape utawashauri nini? Kwani kukaa kwenye ofisi ya umma basi wanajiona kuwa wao wana akili kuliko watu wengine.wacha wakoselewe ipo siku watafunguka kichwa.
  2. A

    Asiepokea mshahara vs viongozi wasiotangaza mali zao hadharani

    Nchi ya kila kitu siri,mikataba ni siri, mali za viongozi ni siri, na sasa bunge nalo limeambukizwa na Nape limekuwa siri.Tunarudishwa nyuma miaka ishirini aibu aibu.Madkiteta walianza hivyo hivyo.Ipo siku watasema hakuna uchaguzi ccm iendelee sijui mtapiga makofi na kushangilia?Someni historia...
  3. A

    Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

    Unataka mafuriko mna hamu ya kupiga mabomu hapigwi mtu hapa.
  4. A

    Nape Nnauye, akana Serikali ya Awamu ya tano kuzuia Bunge Kuoneshwa Live

    Unasikitisha sana siyo lazima ujibu unaweza kunyamazatu.Na labda hujui maana ya live.Hatutaki habari ya bunge iliyochkachuliwa kwisha.Wabunge wa ccm wanasingizia kubana matumizi mbona hawajapunguza posho zao?Hukumu yao inakuja 2020.Wasifikiri watasafiria nyota ya Magufuli imekula kwao.
  5. A

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametaja mali alizochuma alipokuwa madarakani

    Wanataja pamoja na familia zao?Maana unaweza kusaidia familia yako kupata utajiri wa kupindukia kwa kuwa sheria haiwabani.Sheria inasemaje kuhusu hilo?
  6. A

    Ukweli kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC

    a nataka kuchumbia huyo imetoka hiyo poooo.
  7. A

    Wafanyabiashara walioficha Sukari waanza kukamatwa

    wanatafuta wahanga baada tu.Tunataka ripoti ya Lugumi toka (mafichoni),maana hatuwezi sema bungeni bunge linaangaliwa siyo hili la ccm.Wabunge sasa wamekuwa waganga wa kienyeji ajabu hii.Magufuli hakika wamechafua rekodi yako.Majipu hadharani bunge mafichoni.
  8. A

    Bunge Kuendelea Mafichoni, Uwongo wa Magufuli/CCM

    Unajishushia hadhi wewe watu wanazungmzia kuona live wewe na Chadema kwani Camera zinachagua? Sema hutaki watu waone matusi ya akina kibajaji na mengineyo.
  9. A

    Mafuru Usihalalishe Utapeli wa Masaburi - UDA

    Hakika jana Mafuru amenishangaza sana lkn lazima amtetee bosi wake wa zamani Magufuli aangalie jipu hilo aliwahi kabla halijapasukia kwenye shuka.Jiji wasikate tamaa mahakama zipo kutafsiri sheria,tutajua nani zaidi CAG,au Mafuru.
  10. A

    Rais Magufuli, Nani amempa kibali mkurugenzi huyu wa Nokia - Vodacom? Nani yupo nyuma yake?

    Alikuja Arusha akapiga usanii kwenye kampuni ya Leopard akaondoka mambo yapo vile vile.Hakuna jipya.CCM haiwezi kujisafisha yenyewe.
  11. A

    Ndugai na Tulia badilikeni!

    Ndugai ni jipu tu kama mengine.Yeye na naibu wake wanafaa kuwa wenyeviti wa chama chao.
  12. A

    Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    Mama Tibaijuka kuna jambo anajuwa asante kwa kutujuza mama.
  13. A

    Spika Ndugai afanya tena mabadiliko ya Kamati za Kudumu za Bunge

    Bunge hili tawi la chama cha mapinduzi wapinzani wapo kimakosa.
Back
Top Bottom