Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Habari wana JF!
Nimeandika haya ili kuweka kumbukumbu sawa,Tanzania haijawahi na haitakuwa na wanasiasa wenye itikadi tofauti na ccm kwa muda mrefu sana.
Tumeshuhudia vyama kupokea "wanasiasa" waliotuhumiwa kuhujumu "upinzani"..na kuwapa nafasi ya maamuzi ya teuzi muhimu,tumeshuhudia uteuzi wa Mashinji kuwa katibu mkuu chadema kwa amri ya Luwasa ambaye aliamuru kura ziwe wazi baada ya kugunduwa kuna watu watampinga Mbowe.
Tumeshuhudia jinsi Maalim alivyoingizwa mkenge na "chademaccm"..kuzira uchaguzi....matokeo yake ni kuwa CCM wana ushawishi bunge la JMT na BLWZ hivyo kupitisha maamuzi kwa zaidi ya 2/3.Ngumu kumeza!
"Vinyago" vya CCM ndio vinageresha kuwa vitaishinda CCM!
Vyama vya upinzani vimejaza makanjanja.....ukawa wanafuata sera za kipebari......ila wakitoa hoja bungeni wanashinikiza serikali itoe huduma bure (ujamaa),bure kabisa!
KUB,Mbowe anaamrisha wabunge watoke nje,eti Raisi kajenga barabara badala ya chai na bia?...leo ukiwaambia fulani mwizi,wanasema anaonewa!
Hivi Chadema,mlishajiuliza kuwa huyu "mungu" wa chadema.
Nawwsilisha!