Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,296
- 757
Hawa kwa jinsi walivyoanza wanafanya mama Makinda aonekane jembe, maana wameanza kuongoza bunge kwa viwango vya chini sana kila mtu analiona hilo.
Nawashauri hawa viongozi wabadilike wawasikilize wabunge na waache kupelekwa pelekwa na serikali.
Kazi ya bunge ni kusimamia serikali sio kutekeleza maagizo ya serikali. Pia wapunguze upendeleo kwa Chama kimoja na kuwaminya wengine hakiisipokuwepo ndio inaharibu bunge.
Wanao Muda inabidi wabadilike mama.