Recent content by almasstz

  1. almasstz

    USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

    Siwaamini wamarekani kama wanasema drone waliyoituma Iran inauwezo wa kupita anga yoyote bila kuonekana sasa ilipigwa na nani huenda waliipiga wenyewe USA ili wapate sanabu ya kumshambulia Iran wara nyingi huwa wanatengeneza issue ya kuifanya dunia iamini wanavyotaka ili wafanye yao ni wanafiki sana
  2. almasstz

    Wauza smartphone tukutane hapa

    25000 nipo Arusha
  3. almasstz

    Mchungaji Mitimingi: Kibamia siyo tatizo la mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke kingono

    Inabidi tutembee na oil 40 nyuma ya sikio kama mate hayafai
  4. almasstz

    Mchungaji Mitimingi: Kibamia siyo tatizo la mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke kingono

    Inabidi watu tubebe na oil 40 ya akiba nyuma ya sikio kama wanakataa mate
  5. almasstz

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Huu ni ukandamizaji Kila mtu anahitaji kuwa na simu anazozitaka Mambo haya yamepitwa na wakati Uhuru wa mtu uko wapi Kama ni hivyo hats wenye magari mengi wawekewe sheria ya kuwa na gari moja tu pili huyu waziri hajatembea vijijini akaona watu tunavyopata tabu ya mawasiliano ajielewe asione Yuko...
  6. almasstz

    Natafuta nyumba ya kununua kuanzia 80 million na kushuka chini

    Ninayo niyangu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. almasstz

    Hivi ina maana Rais huwa hawasiliani na Mawaziri wake?

    Kinachoonekana Muheshimiwa Raisi hakuhitaji kuwa na mawaziri maana kila waziri anaeongelea kupitia majukumu yake hayuko sahihi sasa ni bora awaambie mawaziri wake hawana haki ya kuongea juu ya wizara yake mpaka yeye Rais apitie kile anachotaka kuongelea maana wamekuwa mawaziri vivuli tu
  8. almasstz

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Ninachokikumbuka kwenye ile audio steve alimuuliza mama simu umeweka wapi akamjibu nimeweka .....hii inaonesha steve ndie aliempigia simu mama lakini kwenye maelezo anadai kupigiwa yeye steve sijui tushike lipi
  9. almasstz

    Msokotano mpya wazuka Zanzibar

    Wataendelea kutumia hela za wanyonge hadi lini wanatowa wapi hela za uchaguzi
  10. almasstz

    Sikujua kwamba Zanzibar ni ndogo hivi!

    Una matatizo weye umejenga hekalu
  11. almasstz

    Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

    Waache watapetape wamepanda mtumbwi wa kibwengo Zanzibar imewachoropoka
  12. almasstz

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nashangaa sana MTU anaulizwa maswali mengi wakati wa kuchukua hela ila wakati wa kueka hahojiwi hela katoa wapi
  13. almasstz

    Chapati na Maharage bonge la menyu

    Hiyo acha chapati na mchicha we Nazi asubuhi ni balaa zaidi
  14. almasstz

    Mke na mme nani zaidi?

    Hili balsa tuacheni uvivu jamani no hatari!!!!!!!!!?
Back
Top Bottom