Mleta mada, Mimi nakuunga mkono kwa [emoji817] ila humu utakutana na upinzani mkali sana.
Tatizo kubwa lililo kwenye jamii yetu ni kuwa wazazi wamekariri model ya malezi kwa watoto wao na model hiyo ni ile inayokandamiza uhuru wa mtoto kiasi kwamba akikua na kufikia umri wa ujana/utu uzima...
Jifunze kuwa na heshima /adabu kwa wanaokuzidi (kielimu, kiakili, kihekima, kiroho, kiumri, nk) hata kama wewe ni MREFU naye MFUPI, tumia maneno yenye staha hata kama si asili yako.
ALUMNI sio ALUMIN
Umeshajibu mwenyewe, yaani ni wanafunzi waliowahi soma kwenye chuo hicho, si lazima kiwe UDSM, ni kwa chuo chochote, unaweza sema waliowahi kuwa WANACHUO
Nimesoma alichosema Waziri juu ya uhalifu unaofanywa na askari polisi wetu hapo JKNIA na nimejifunza jambo MOJA KUU: Askari wetu ambao pia ni WATUMISHI wa UMMA wana NJAA KALI, hivyo katika kuhakikisha wanaweza kujikimu wamegeuka kuwa WAHALIFU tena dhidi ya raia wanaotakiwa kuwalinda ikiwa ni...
"Hata hivyo Aziza alikuwa nyuma ya Mawazo akijaribu kuwazuia polisi wasimkamate Mawazo"
Hiyo sentensi inafikirisha. Kama Mawazo alikuwa na panga mkononi si mkewe angelenga kumnyang'anya kwanza baada ya kuona kuwa ni Polisi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.