Recent content by allyramadhani67

  1. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    Shukrani boss tupo pamojo
  2. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    😃😃 boss ulikuwa Una nunua simu used za bongo nyingi za wizi pole sana ndio changamoto za upambanaji
  3. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    Ok. Sasa huko Mzee mtaji lazima ujipange kuna nauli ya kukwea pipa na macost mengine kibao
  4. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    🙏
  5. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara. Sijajua wafanya biashara wa Kariakoo wanazitoa wapi na ukijaribu kumuuliza mfanya biashara yeyote Kariakoo...
  6. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _____________________
  7. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ______________________
  8. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Nauza toyota starlet bei poa kabisa

    Nne hailipi mwamba
  9. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Download kitabu cha James Hadley Chase hapa

    Shukran kaka ila naomba uweke vitabu vingine vya ujasilia mali
  10. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Njia za kuwa na maisha bora

    Ujumbe mzuri.. Thanks
  11. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Msaada: harufu ya kinywa na meno kuoza

    Je ulishawahi kumuona daktari wa meno
  12. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya imetokea Ubungo

    Dah..hatari sana mungu afanye wepesi
  13. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya imetokea Ubungo

    kuna maafa yoyote
  14. allyramadhani67

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakosa ujasiri wa kumnyonya papuchi, japo natamani sana

    Hahahaaa..kwa mfano unashikiwa panga uzame si unazama sasa unashindiwa nini sasa alafu isitoshe ni wife.
  15. allyramadhani67

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu hatari za kuhakikisha uko peke yako kwa mpenzi wako Kuepuka kupangwa foleni na kutapeliwa

    kila mtu siku hizi yupo talented mkibuni mbinu na sisi tunabuni za kwetu mpyaaaa!...
Back
Top Bottom