Aisee! Oneplus, simu ya ndoto yangu. Niliwahi kuwa na Oneplus One, hongera sana kwa vijana wa Msamvu Morogoro wakaondoka nayo.
Oneplus, hiyo ndio simu hasa. Tatizo, mfukoni nimekaukiwa.
dsat technology kaanzisha uzi, twaleeb akauingilia na kuuvuruga kuwa yeye anaweza kutoa Elimu bure.
Sasa unakuja na hoja kuwa wadau wanakushauri eti mafunzo uyatoe kwa ada kidogo. SIAMINI.
Ushauri wangu kwako ni huu: Muda unaoutumia humu jf, ni bora ungeutumia kujifunza kiswahili.
Neno WANAKINDHANA halipo kabisa katika kamusi ya kiswahili. Au mwenzetu, una kithembe hadi vidoleni??
Kama nimemuelewa vizuri mleta uzi, ni kwamba tupo watu ambao tupo tayari kulikata tawi la mti linalotupa support. Au pia tupo tayari kuking'ata kidole kinachotulisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.