Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

ww ndo unakosea coz huko c kusaidia ni kukomoa taaluma km ya cctv ama dish c ya kumlipisha mtu coz hata ww najua umeipata bure ss kwann ulipishe mtu na km unahitaji kumlipisha punguza gharama
Mkuu umeongea ukweli manake dah ukizingatia hii kazi kwa asilimia kubwa wengi wetu tumejifunza kiutundu utundu.
 
ww ndo unakosea coz huko c kusaidia ni kukomoa taaluma km ya cctv ama dish c ya kumlipisha mtu coz hata ww najua umeipata bure ss kwann ulipishe mtu na km unahitaji kumlipisha punguza gharamahuu
huu ndio uzalendo tunaoutaka maana ss kama vijana wa kitanzania tusiposimama sisi kwa sisi nakuamua kushikana mkono na kusaidiana hatuwezi kusonga mbele... ukimsaidia mtu kama mr. twaleeb anavyojaribu kufanya hata akifanikiwa kama naye ni muungwana hawezi akakusahau
 
nashukuru wadau kwa kunielewa anaehitaji kujifunza ivyo vitu anitafute kwa moyo mkunjufu ntamfundisha bila gharama zozote na kuhusu suala la cheti usitegemee cheti cha ufundi dish kinatambulika mafundi wote wa madishi Afrika mashariki hawana vyeti sababu hamna chuo kinachofundisha dish bali dish mtu anajifundisha mtaani ama utundu wake binafsi nawashukuru kwa kunielewa ukinipigia tigo nikawa cpatikani nitumie namba yko pm ntakutafuta
 
Ahsanteni wadau mliokuja inbox na kunipa moyo ila kuna wengine wameomba nifungue darasa kuhusu dish cctv na niweke angalau ada kidogo nimeona nililete kwenu km mtaliafiki mupange wenyew ada na kila kitu ila mahali darasa litakapokuepo ni kigamboni shukran sana
 
Ahsanteni wadau mliokuja inbox na kunipa moyo ila kuna wengine wameomba nifungue darasa kuhusu dish cctv na niweke angalau ada kidogo nimeona nililete kwenu km mtaliafiki mupange wenyew ada na kila kitu ila mahali darasa litakapokuepo ni kigamboni shukran sana


dsat technology kaanzisha uzi, twaleeb akauingilia na kuuvuruga kuwa yeye anaweza kutoa Elimu bure.

Sasa unakuja na hoja kuwa wadau wanakushauri eti mafunzo uyatoe kwa ada kidogo. SIAMINI.
 
Back
Top Bottom