Recent content by alliJAY4_four

  1. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Wanaotekwa wakiachiwa haimaanishi wako huru, ndio maana hutokaa uwasikie

    Manake wewe ushawai kutekwa na ukapewa hizo codes au sio? Ila kama hujawai kutekwa basi geraraia 😂
  2. alliJAY4_four

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Location yangu siku ya leo

    Dah jamaa boya sana, eti Sina gari wala hela ya Tax 😂😂
  3. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwanza haujatendewa haki kwa jengo la abiria

    Kwani hapo ndo mwisho, hapo ni mwanzo cus' hata JNIA haukuanzia na Terminal 3, so chillax mzee
  4. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Tujadili hili……. Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa?

    Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa? Hawakuwa na maarifa/uelewa wa kujaza fomu? Wengi wao wamerudisha form zikiwa kilema (baadhi ya vitu muhimu havikujazwa wala kuambatishwa) Viongozi wao wa juu walikua wame-base sana kwenye mitandao ya kijamii na sio kuwaeleimisha...
  5. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    Suala hili lilianzia KENYA kwa baadhi ya wadau kuishitaki safaricom, na wako katika mchakato mzuri wa kuifanikiwa. Ni vizuri kuAdapt walichokifanya wakenya but ushauri wangu kwako inabidi ufuatilie kwa undani kuhusu business law ya telecommunications company kwasababu na wao wenyewe wana-operate...
  6. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake wa Dar es Salaam na Zanzibar kwa kukosa huduma ya umeme kuanzia saa 8:02 usiku

    Yaani jamaa umeme umekatika kwenu unasema ni taifa zima, acha unazi jamaa
  7. alliJAY4_four

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni namna njema ya kumuacha huyu binti

    Jiue tuu mwanangu apo utakua umeachana nae mazima
  8. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi za SADC - Dar Es Salaam Tanzania

    sawaa bhana asante kwa taarifa nzuri
  9. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Kuhusu friendly match ya Egypt Vs Tanzania

    Kutokana na match ya jana ya Egypt vs Tanzania jana, nini umejifunza? nini umekona? unahis kocha wetu ashauriwe kitu gani ili michuano ikianza rasmi tusitoe boko? Cus midfield ya jana mimi naona kama haijafanya kitu kwakweli...feisal toto, mao dah naona kama walipoteana kabisa
  10. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Whatsapp kutumika kuhudumia wateja wa Tigo

    ofcourse wamefanya jambo zuri kwa kupanua wigo wa kuhudumia wateja wao, ila nawashangaa sana wametoa namba moja tuu ambayo itakua inawahudumia wateja wote ambao kwa Tanzania ni zaidi ya milioni 3, watawezaje kuwahudumia wateja wote hao kupitia namba moja? je watakua na uwezo wa kujibu papo...
  11. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Inakuaje Magufuli anagawa hela na miradi ya maendeleo njiani kwa mizuka tu kwenye ziara, hakuna plan nchi hii?

    broski, everything has already been planned, kila anachokisema ujue kinawezakufanyika.....so about that mimi sina shaka na Mhe Rais
  12. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha ' Mvumo ' wa akina Pierre Liquid na Baraka Magufuli kupotea ghafla masikioni mwa Watanzania?

    Bongo ni nchi ya matukio, kila siku linakuja jipya na kiki yake na kufanya la jana kusahaulika.....But all in all it is the making of a TIME (TIME inafanya mtu/jambo la muhimu kukumbukwa daima na hufanya jambo/mtu asiye na umuhimu kusahaulika mapema sana) 😂😂😂
  13. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania VAR jana kuiua Manchester city

    kabisa brother apa umenena
  14. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania VAR jana kuiua Manchester city

    hahah haha atakosa bara na pwani., UEFA anakutana na Barca anakufa, huku EPL tunachukua....haha haha haha
  15. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania VAR jana kuiua Manchester city

    sawaaaaa wewe ndo una uhakika wa kuchukua UEFA
Back
Top Bottom