Inakuaje Magufuli anagawa hela na miradi ya maendeleo njiani kwa mizuka tu kwenye ziara, hakuna plan nchi hii?

Mazingira ya kujinadi ,kuonekana kwenye Tv ni ya peke yake

Yaani anapiga kampeni tangu 2015 ile achaguliwe na akubalike kwa sababu......(unajua )

Kama anabisha aruhusu wengine wafanye hizo siasa aone
 
Napenda ufahamu tu kila kitu Tanzania kipo kwenye mipango, yani kila kijiji unachokigusa kina mipango yake ambayo tayari inafahamika serikalini. Inaweza ikawa shule, zahanati, barabara, soko, etc.

Hapo kuna mipango inayohitaji budget, kama barabara, na mipango inayohitaji ujenzi kwa wananchi kushirikishwa kama zahanati na shule.
Hivyo anachotoa raisi kina symbolize mchango wa serikali kwenye huo mradi.

Mind you raisi hatoi mchango from nowhere, lazima keshapewa briefing huko tunapoenda tegemea wananchi/viongozibwatakwambia abc, tayari anakuja anajua mnachohitaji.
Mzee wewe hujaona..Rais anaenda mahali anakuta wananchi wanamsubiri njiani (sio kwenye mkutano hata aliopanga kwenda) anatoa milioni 5( sio kwenye mshahara wake wa milioni 9 kwa mwezi) kwingine anaahidi milioni 200, kwingine anaahidj barabara ya mabiilioni
 
sasa ukiagiza kwa kuona na kufurahia wingi wa watu eneo fulani ndio strategic planning ya nchi hii inapoanzia?

Milion 5 katoa kama mchango tu pale anapokuta kuna shughli ya kijamii wananchi wamejitolea kufanya nayeye anawachangia.

Kuhusu ujenzi wa Barabra inabidi kwanza ujue kuwa Bajeti ndiyo inaenda kuandaliwa anavyopita huko akitoa ahadi na akaagiza kwa Wizara husika ujue wananote then wataitumbikiza kwenye bajeti ya mwaka 2019/2020 katika Wizara ya ujenzi itakayosomwa hivi karibuni.
sasa
 
Milion 5 katoa kama mchango tu pale anapokuta kuna shughuli ya kijamii wananchi wamejitolea kufanya nayeye anawachangia.

Haya ni matokeo kwa jinsi shuleni, ulivyokuwa bize kuuza bagia za walimu.
 
Milion 5 katoa kama mchango tu pale anapokuta kuna shughuli ya kijamii wananchi wamejitolea kufanya nayeye anawachangia.

Kuhusu ujenzi wa Barabra inabidi kwanza ujue kuwa Bajeti ndiyo inaenda kuandaliwa anavyopita huko akitoa ahadi na akaagiza kwa Wizara husika ujue wananote then wataitumbikiza kwenye bajeti ya mwaka 2019/2020 katika Wizara ya ujenzi itakayosomwa hivi karibuni.
Inaelekea hata mchakato wa kuandaa bajeti huujui. Bajeti inayoendelea sasa imeandaliwa muda mrefu, sema kwa utaratibu wa sasa bunge linapoteza muda tu.
 
broski, everything has already been planned, kila anachokisema ujue kinawezakufanyika.....so about that mimi sina shaka na Mhe Rais
 
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
Mkuu wa kaya anatembea na plan za nchi kwenye mfukoni wa suruali.
 
jakaya ovyo kuliko wote katika uongozi ila ana sura nzuri na maneno laini
Huyu mmemtoa wap mkamleta humu Jf
Yupi bora ambae anakula daslam analala dodoma ama anaekula daslam analala daslam lkn anakula na hadi kakopa zaidi ya yule wa dodoma
Think big dont be a full mzee
 
Back
Top Bottom