Whatsapp kutumika kuhudumia wateja wa Tigo

Whatsapp kutumika kuhudumia wateja wa Tigo

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
95
ofcourse wamefanya jambo zuri kwa kupanua wigo wa kuhudumia wateja wao, ila nawashangaa sana wametoa namba moja tuu ambayo itakua

inawahudumia wateja wote ambao kwa Tanzania ni zaidi ya milioni 3, watawezaje kuwahudumia wateja wote hao kupitia namba moja? je watakua na

uwezo wa kujibu papo kwa papo kama walivyodai? mimi naona hapa kama kuna utata.....

nini mawazo yako mdau cus kwa namna moja ama nyingine kupitia hii thread wanaweza kupata maoni ya wadau
 
Mtoa mada kesho unahitajika ofisi za uhamiaji zilizopo karibu nawe... nenda na nyaraka zako zote za utaifa
 
Back
Top Bottom