Recent content by Allen Tarimo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Kumbe ndg zetu mnaoishi ughaibuni ndivyo milivyo?yaani usd 6000 tu jaman?milion tisa na laki tisa za kitanzania zinawashinda kweli?sasa mnachojitapa ni nini?shame on you!mnasikitika unafiki tu?BADO ZAMU YENU SASA nyie hamtachomwa mtatupwa kama mmbwa!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania tungeweza?

    Mleta uzi sina uhakika sana na uelewa wako kuhusu maswala ya kiusalama. Tanzania sio nyepesi kijeshi kama unavyodhani,nikuhakikishie katika ukanda huu wa maziwa makuu Tanzania ipo juu sana.Tanzania isingechukua siku tatu kukabiliana na wajinga kama hawa.Siasa wekeni pembeni jadilini mambo ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Safarini majimbo ya Tunduru kusini/kaskazi,Namtumbo na Songea mjini.

    Ukifika tunduru nitafute
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    Hivi Mandela,Nyerere walisomeshwa na serikali gani?Tukumbuke hawa wazee wetu walisoma chini ya serikali za kikoloni! Sasa iweje wakazipinga na kuzing'oa madarakani serikali zilizowasomesha? Huyu mzee hajitambui!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kamishina Chagonja apatwa na kigugumizi kuhusu bomu lililolipuka Arusha.

    Sasa kama chagonja aliongea na Mh Lema siku moja kabla na Lema akamwambia polisi hawahusiki,leo wanasema Mbowe na Lema wametoroka how? Kwanini wakati Lema na Mbowe wanaongea nae wasikamatwe hapo? Nina wasiwasi sana na huyu jamaa! Watajuta tu walichofanya,watajikanyaga mwisho watatuambia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Prof Maghembe yupo sahihi katika hili?

    Wadau najitokeza leo kwa mara ya kwanza hapa JF kujaribu kuwashirikisha wakuu mnisaidie ufafanuzi kuhusu jambo hili ambalo nimelitafakari kwa siku kadhaa bila kupata jibu. Nakukumbuka juzi Mh spika wa wa bunge Anne makinda aliahirisha mjadala wa bajeti ya wizara ya maji akiitaka serikali...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

    Hamad Rashid si mmefunga ndoa na chama chake! Nilitegemea Umsifie Hata hivyo ajira ni ngumu pambana ili upate chako Lumumba
  8. A

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba , Maalim Seif waiteka Tunduru

    Kwanza Heading haifanani na ulichoandika! Huyo maalim seif na Lipumba walikuwepo Hapo Tunduru?
  9. A

    JamiiForums Tanzania SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    Ban inaninyemele...................mak.........hawa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Never before in my life history has ever there such a noble and pressing task, The accomplishishment which must be the common course No sucrifise is too great no burden is too heavy for the achievement of our goal Let us fight for revolution in a solid and militant chain and nothing under the...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Mbona mnampa umaarufu huyu mtu? Yaani huyu mtoto bado sana,labda miaka ishirini mbele, Hawezi kupambana na chadema! Mi mwenyewe nimemjua humu jf mwezi mmoja uliopita! WAKUU NAOMBA TUFUNGE MJADALA UNAOHUSIANA NA HUYU MTOTO! MWACHENI AELEKEE KUZIMU ndio alikochagua sisi tuendelee na harakati...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Shonza usijipe kiburi na umaarufu wa mitandaoni we bado sana,kumfikia mnyika ni miaka mia mbele. Tulia!umeshapoteza timing!we endeleza siasa zako za njaa huko ulikohamia usubiri upotezwe kama wenzako! Utakuja kujutia maamuzi yako baadae 2015 sio mbali
  13. A

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Kkao cha kamati ya uongozi kimemalizika haya ni maazimio...

    Naomba kufahamu majina ya kamati nzima ya uongozi ili nijadili vizuri thread hii
  14. A

    JamiiForums Tanzania CCM yaichinja CHADEMA Singida

    pimbi wewe
Back
Top Bottom