Kinachokusumbua wewe ni tumbo la kuhara..!Katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Wanachama 275 wa CHADEMA wamehamia CCM mkoani Singida. CCM YANG'AA ZAIDI
Katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Wanachama 275 wa CHADEMA wamehamia CCM mkoani Singida. CCM YANG'AA ZAIDI

Hivi zile kadi Feki laki moja mlizochapisha za Chadema mmeshatoa ngapi? Nasikia kila mkoa mmesambaza za kutosha.
Ccm hongera na inaonekana mnaaweza kuendesha nchi adi watu mia mbili na wameweza kutoka chadema na kuingia ccm.
Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.
Katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Wanachama 275 wa CHADEMA wamehamia CCM mkoani Singida. CCM YANG'AA ZAIDI
Kilulu ya wapi hiyo?wanaohama ni CDM TU? Nccr,cuf,tlp,na vyama vingine wao hawahamii MAGAMBA,NENDA ZAKO UJASHAWISHI MTU NA SERA ZAKO ZA UKILAZA,MTAUMIZA AKRI ZENU SANA ILA CDM INASONGA MBELE TU,
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu na asiyefaidika na ufisadi anaweza kushabikia ccm! Tafakari chukua hatua utashangaa sana siku si nyingi kama ulikuwa unafaidi matunda yake anza kujizoesha kula kama masikini maana mwisho wake haukombali!