ndugu apo uliposema hakuna msaada kutoka kwa kiongoz yeyote wa siasa nimepata hofu juu ya ukwel wa uliyo yaandka..
DIWAN WA KATA YA SALANGA(kimara mpaka kibanda cha mkaa) alikua bega kwa bega na wananchi kuanzia siku notes zimeanza kutolewa,,,
habari wana jamvi!!
kuna acount ya mtu instagram imekua hacked,imebadilishwa email iliyotumika kufungulia acount(linked email) na password pia imebadilishwa,user name ndo halijabadilishwa..
msaada wenu tafadhari..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.