Binafsi sioni kama Dar es Salaam ni jiji la kitalii!
Nilijaribu ku- search kupitia Google " Je, Dar es Salaam ni salama kwa watalii?"
Majibu yakaja " Kuwa mwangalifu kwa mazingira yako na uangalie kwa karibu usalama wako wa kibinafsi. Unyang'anyi wa kutumia silaha, wizi mdogo mdogo na vitisho...
Tunaendelea tulipoishia.
Basi ilikuwa usiku, ikawa usiku sana, alfajiri na asubuhi ikawadia. Usiku huo sikulala mbali sana na niliposhukia, ni maeneo hayo hayo tu mkabala na round about, kama unatokea Dar es salaam unanyoosha kupita round about mkono wako wa kushoto kuna Lodge na hotel ya...
Habari, karibu Tanga, huko wanapaita TA, Tanga rahaa na mahali pekee hapa Tanzania kwenye sifa ya kuwa nyumbani alipozaliwa bwana Mapenzi!!..
Mwanzoni kabisa mwa mwaka huu nilibahatika kutembelea mkoa huu unaotoa jiji mojawapo kongwe zaidi Tanzania.. Dhumuni kuu likiwa kwenda kujionea mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.