Recent content by All 4 One

  1. A

    JamiiForums Tanzania Masters ya Project Planning Management

    Naomba msaada wewe, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa masters ya Project Planning Management?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Uonavyo: Kati ya prof LIPUMBA na Dr SLAA ni nani zaidi?

    Ifikie mahala rais awe anateua watu wenye mchango chanya katika nafasi kumi ambazo huwa anapewa watu kama akina Pro Lipumba wanaweza kuleta mchango katika nchi kuliko kila siku wanapeleka mawazo yao katika nchi za watu, nim kitu cha kujiuliza walikuwa wanazuoni wangapi katika Mkutano huu? Na ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Chadema hacheni na hoja kama hizo, bali wajikite katika kuangalia kero za wananchi wa Arumere
  4. A

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Hiyo ndo Tanzania huwa tunashindwa kuchambua ni kipi cha maana na kipi si cha maana, tukumbuke wakati Baba Riz anaingia madarakani alishangiliwa na kila mmoja na kuamini ni chaguo la Mungu leo sijui ni changuo la SHETANI? Kiongozi bora anapimwa kwa matendo yake na si kushangiliwa na kundi fulani...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

    Kibonde ni kama jina lake ni kibonde, hana jipya katika Tanzania ya leo zaidi ya kuongea upuuzi,
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

    98% za kusafiri na 2% kueleta maendeleo kwa watanzania
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wetu kapanga na mwizi kutuibia

    Hakuna haja ya kuchagua wa kuanza naye wote wanatakiwa wafe kifo kimoja kwa sababu wanafananisha watanzania na watoto wadogo ambao hawajui kitu na huu upuuzi utaendelea mpaka lin?.i Watanzania tunashindwa nini kufanya maamuzi magumu ya kuwaondoa hawa watu maana kwa kuwaondoa kwa demockrasia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mugabe atoa onyo!

    'Let Africa remain for the African', Big up Mugabe
  9. A

    JamiiForums Tanzania UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

    Huyo bwana amezoea kupewa vya bure na Udms ikitaka kuendelea kushuka hadhi ifanye kitu kama hicho, bwana mkubwa ni vizuri ukaenda UDOM alikozoea kupewa vya bure, PHD ni kitu kingine watu wanatumia zaidi ya miaka 20 wakitafuta PHD yeye leo apewe kirahisi kiasi hicho hapana.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wizaya ya Habari na Michezo watolewa nje ya ofisi!!

    Tunashukuru sana kwa mkurunguzi wa NHC zoezi liwe endelevu bila kuangalia ni nani na ana nini na yupo sehemu gani
  11. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    hii inatisha jaman tumuombe sana mungu atuepushie na haya mabalaa ya uchaguzi kwan viongoz wanaonesha dhahili kwamba hawapo kwa ajili ya maendeleo yetu bali ni kwa ajili ya masilahi yao binafsi cha msingi ni si wananchi kujitambua kwani mabadiliko hayaletwi na wao bali yanaletwa na sisi wenyewe.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa udom

    Jamaaa sikuelewi nahisi una lako jambo na uongozi wa udom
Back
Top Bottom