Mlinzi wetu kapanga na mwizi kutuibia

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Jana katika kipindi cha malumbano ya hoja ITV. Mjadala ulikua mzito sana na wakuvutia kutokana na kwamba takribani washiriki wote walijaribu kuonyesha hasira zao katika suala la TANESCO kuilipa DOWANS hukuikionekana dhahili kwamba kuna PALIWINAWI wanachezewa Watanzania.
katika mjadala ule washiriki mara kadhaa walijaribu kuihusisha storry ya malipo haya kama mlinzi kupanga na mwizi kumuibia mwenyenyumba.
katika filamu hii:MLINZI =Mwanasheria mkuu ,Wizara ya nishati na madini + TANESCO
MWIZI=DOWANS,RICHMOND
MALI INAYOIBIWA=94BIL
Wana Jf baada ya kuishtukia hii ishu tuanze na nani MLINZI au MWIZI?
Hoja ya kuandamana naiunga mkono 101% btut kwanini tuendelee kumuamini huyu mlinzi aendelee kutulindia mali yetu.
Nina washukuru sana wachangiaji walio changia katika majadala shukrani za dhati kwa ITV
 
Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,703
142

Hata mimi mjadala ule ulinivutia sana.Ofcourse kulikuwa na majinga machache,but overral,it was good.
 
Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,316
Jana katika kipindi cha malumbano ya hoja ITV. Mjadala ulikua mzito sana na wakuvutia kutokana na kwamba takribani washiriki wote walijaribu kuonyesha hasira zao katika suala la TANESCO kuilipa DOWANS hukuikionekana dhahili kwamba kuna PALIWINAWI wanachezewa Watanzania.
katika mjadala ule washiriki mara kadhaa walijaribu kuihusisha storry ya malipo haya kama mlinzi kupanga na mwizi kumuibia mwenyenyumba.
katika filamu hii:MLINZI =Mwanasheria mkuu ,Wizara ya nishati na madini + TANESCO
MWIZI=DOWANS,RICHMOND
MALI INAYOIBIWA=94BIL
Wana Jf baada ya kuishtukia hii ishu tuanze na nani MLINZI au MWIZI?
Hoja ya kuandamana naiunga mkono 101% btut kwanini tuendelee kumuamini huyu mlinzi aendelee kutulindia mali yetu.
Nina washukuru sana wachangiaji walio changia katika majadala shukrani za dhati kwa ITV

Nafiri waTz lazima mjue kwa kila hali deni ni lazima lilipwe. Muandamane msiandamane ni lazima Tanesco ilipe deni kwani deni hilo lipi kisheria zaidi na sio kisiasa.

Ni vizuri mkajipanga namna ya kulilipa na wakati huo huo mnawashughulikia wale waliowaingiza choo cha kike.

Lakini msingi mkuu wa deni kisheria ni kulipwa.
 
All 4 One

Member
Sep 19, 2011
13
4
Hakuna haja ya kuchagua wa kuanza naye wote wanatakiwa wafe kifo kimoja kwa sababu wanafananisha watanzania na watoto wadogo ambao hawajui kitu na huu upuuzi utaendelea mpaka lin?.i Watanzania tunashindwa nini kufanya maamuzi magumu ya kuwaondoa hawa watu maana kwa kuwaondoa kwa demockrasia hawataki wataiba kura mpaka basi nini solution ni maandamano na ikishindikana tutafutane kama Libya, Tunisia, Morocco Inawezekana Tanzania bila wezi
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Kosa lilishafanyika wakati wa kufunga mkataba. Hata tukiandamana deni litalipwa tu.
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,749
4,171
Kwani wewe ukiingizwa choo cha kike wakati nawe ni mwanamke kuna shida gani?!, si unachutama tu unamaliza mambo?!. Tatizo ni kuwa walioiba wanapindisha movie ili waonekane hawahusiki. Bunge letu nila mchumia tumbo- tosay a few.
Nafiri waTz lazima mjue kwa kila hali deni ni lazima lilipwe. Muandamane msiandamane ni lazima Tanesco ilipe deni kwani deni hilo lipi kisheria zaidi na sio kisiasa.

Ni vizuri mkajipanga namna ya kulilipa na wakati huo huo mnawashughulikia wale waliowaingiza choo cha kike.

Lakini msingi mkuu wa deni kisheria ni kulipwa.
 
It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Kwani wewe ukiingizwa choo cha kike wakati nawe ni mwanamke kuna shida gani?!, si unachutama tu unamaliza mambo?!. Tatizo ni kuwa walioiba wanapindisha movie ili waonekane hawahusiki. Bunge letu nila mchumia tumbo- tosay a few.
hapo sasa ivi tupo tayari kuendelea kuibiwa
 
It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Haya wewe usikubali, halafu uje kulilia maisha bora humu. Huo mgao unaouona sasa utakuwa mara kumi zaidi yake.
uko sawa kabisa afu ghafra tutaambiwa tuna pandishiwa gharama za umeme sababu shirika linajiendesha kwa hasara
 
SIKUOGOPI

Member
Oct 3, 2011
27
9
Mimi naamini katika Kuua kila mwenye Kuleta TAABU! Hivyo tuvamie Miji yao tuwakamate na Kupora kila walichonacho na Kuua Wao na Familia zao!

Heri kuua wao wachache na vizazi vyao ili visiibuke tena kuleta Mateso ya Watanzania wote!

Na hapa tusiogope Cheo cha Mtu wala Sifa yake wala Nguvu aliyonayo Kiuchumi. Na kwa wale wanaolingia Ulinzi tupo tayari sisi watanzania Kulipa wataalam kutoka Nje wenye Ujuzi wa Kulenga Shabaha Vichwa vyao ili wasiwepo tena Duniani.

Sasa nauliza je ni wangapi wako tayari Kuua waliotuibia Fedha Zetu?.
 
It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
mimi naamini katika kuua kila mwenye kuleta taabu! Hivyo tuvamie miji yao tuwakamate na kupora kila walichonacho na kuua wao na familia zao!

Heri kuua wao wachache na vizazi vyao ili visiibuke tena kuleta mateso ya watanzania wote!

Na hapa tusiogope cheo cha mtu wala sifa yake wala nguvu aliyonayo kiuchumi. Na kwa wale wanaolingia ulinzi tupo tayari sisi watanzania kulipa wataalam kutoka nje wenye ujuzi wa kulenga shabaha vichwa vyao ili wasiwepo tena duniani.

Sasa nauliza je ni wangapi wako tayari kuua waliotuibia fedha zetu?.

hili lako nizitoooo kidogo na gumu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom